Uvumi kuwa Mzee Kikwete yupo nyuma ya Uongozi wa Rais Samia unaweza kuwa Kikwazo cha Ufanisi na chanzo cha kuhujumiwa kwake

Sasa kama unaamini hayati alikuwa na nguvu hiyo ya kumfanya jk asiwe na furaha iweje tena mnadai kuna hujuma alifanyiwa?

Hayati alikuwa mbish sana kwenye mambo ya kisayansi hilo ndo lilimponza tuache kusingizia watu.
Unaonekana we ni wa mlengwa gani, ni msoga gang
 
Wewe taahira hujui kua kanda ya ziwa ina determinr urais wa nchi hii?

Usiwe unajiamdikia tu uonekane unaandika uharo humu.
Kama hoja yako ina mashiko au ukweli wowote basi John Momose Cheyo angekuwa Rais.

Mimi natoka kanda ya ziwa, usije ukajiaminisha usukumani ndio tafsiri ya kanda ya ziwa, tupo watu wa Mara hatupelekeshwi na washamba wa kisukuma, na hata hapo Mwanza matajiri walioikamata Mwanza ni kutoka Mara na siyo wasukuma.

Huwa tunawachora tu mnavyogeneralise hili neno kanda ya ziwa kana kwamba kanda yote ya ziwa ni wajinga watupu wa kisukuma.
 
Jitihada zenu za jumchafua mzee wa watu (kikwete) zitapotea km moshi angani na mtakuwa wa kwanza kuaibika kama walivyoaibika na kumalizika wengine huku yeye akiachwa anaendelea na maisha yake na tabasamu tele usoni!! Mashefani wakubwa nyie
Wanakonda sana utadhani Mzee wa watu kajipangia umri wa kuishi duniani.
Roho yake isiyo na mafundofundo na maukabila sijui Mavisasi nasiri ya umri wake plus tabassam throughout
 
Asante kunisaidia kuwajibu hao sukuma Gang,..kipindi cha mwenda zake walijiona wenyewe ndo vijeba😂😂😂
piga hao.....walitusumbua, alafu yule bashite malyangili aliyejilimbikizia mali za kukaba na mivyeti feki ya makonda yukwapi?
 
piga hao.....walitusumbua, alafu yule bashite malyangili aliyejilimbikizia mali za kukaba na mivyeti feki ya makonda yukwapi?
Wewe shangilia wenzako wanakula keki ya taifa wamejifungia, alaf wewe unakula vumbi, huu ndio ujinga wa mtanzania, kwa akili zake anaona anakomoa kundi Fulani,kama vifulushi tunateseka ote, hio ndio akili ya mtanzania
 
Sasa kama unaamini hayati alikuwa na nguvu hiyo ya kumfanya jk asiwe na furaha iweje tena mnadai kuna hujuma alifanyiwa?

Hayati alikuwa mbish sana kwenye mambo ya kisayansi hilo ndo lilimponza tuache kusingizia watu.
Unajua effect yoyote itakayo tokea kutokana na expression ya spike protein gene on human cell??,ukinijibu hii kitu nitaprove kama hakufata ushauri wa kisayansi
 
shauri tuwafanya nini?
 
Wanakonda sana utadhani Mzee wa watu kajipangia umri wa kuishi duniani.
Roho yake isiyo na mafundofundo na maukabila sijui Mavisasi nasiri ya umri wake plus tabassam throughout
wanakera sana hawa na frustrations zao!
 
Wewe akili huna. Watu gani wa mara hawapelekeshwi?

Hii generalization syndrome ni ugonjwa wa akili.

Kina chacha wa Serengeti waliohamia ccm walikua wasukuma? Kuna waitara wa tarime ni wasukuma?

Pamoja na kwamba mimi sio msukuma ila wasukuma ndio kabila kubwa kuliko kabila lolote kanda ya ziwa na nchi ya Tanzania.

Unaweza kua uko mara kumbe ni mchaga halafu unajisifia eti niko mara, mara wapi hapo?
 
Ambaye haongelewi vizuri na watu wa Kanda ya ziwa kwa hilo tukio unalosema ni la 17 march 2021 ni nani , Kikwete au Samia , na Kwanini ?
 
Unajua effect yoyote itakayo tokea kutokana na expression ya spike protein gene on human cell??,ukinijibu hii kitu nitaprove kama hakufata ushauri wa kisayansi
Inaonekana hiyo statement ndo umetoka kukaririshwa sasa imekuwa tabu kila comment unaishi nayo.

Pia sina muda sana wakkujibizana na watu dizaini yako maana kazi ni nyingi za kufanya hatushindi humu kama ilivyo kwako mkuu.
 
Wenye akili( great thinker), wamebaki wachache, ni mimi na mtoa mada tu.
Siku zinakuja, athari ya kutimua mawaziri wote ( sekta muhimu)wa kanda ya ziwa itaonekana) by the way hatutaki Rais wa kutuletea kontena za chanjo hilo si hitaji la Watanzania.
Nakumbuka Enzi za Clinton kutoka msaada wa Net, zama zimebadilika
 
Inaonekana hiyo statement ndo umetoka kukaririshwa sasa imekuwa tabu kila comment unaishi nayo.

Pia sina muda sana wakkujibizana na watu dizaini yako maana kazi ni nyingi za kufanya hatushindi humu kama ilivyo kwako mkuu.
Ndio ujuwe humu kuna robot zinakuwa ziko programed.
 
Sasa kama unaamini hayati alikuwa na nguvu hiyo ya kumfanya jk asiwe na furaha iweje tena mnadai kuna hujuma alifanyiwa?

Hayati alikuwa mbish sana kwenye mambo ya kisayansi hilo ndo lilimponza tuache kusingizia watu.

mbishi kwenye mambo ya kisayansi kama yepi!!!!

hayati ni mwalimu wa kemia na fizikia.
hayati ni mhakiki na maimamizi wa miundombinu.

halafu kuwa na uwezo au nguvu sio kuwa mjuzi wa kila kitu.
 
Mkuu jana nilizinyaka kuwa kanda ya ziwa imeanza kuungana kufanya jambo zito hata siwezi kutamka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…