Mengi sana 1. Barabara za lami nchi nzima. 2 Shule za kata Nchi Nzima. 3. Umeme wa Rea nchi nzima. 4 Ajira Maelfu Kila mwaka. Uwe unaficha chuki YakoMazuri gani ambayo Rais Mstaafu Kikwete kafanya kwa Tanzania alipokuwa Rais?
Next time try to hide your Stupidity Ok?
Mama ndio Chifu mkuu wa machifu wote wa kisukuma. Chifu Hangaya.Ndugu ulichokiandika katika Paragraph yako ya Pili kipigie Mstari kwani ndiyo Ukweli wenyewe na Wenyewe kimya kimya wanasema wanajiandaa Kulipiza Kisasi ( japo Mightier ) sijajua ni aina gani ya Kisasi.
Yangu Macho....!!!!
Aisse umefika mbali. Rekebisha hapo CHIZI tumia Rais aliyefariki.Bahati nzuri ccm wala haiitaji kupigiwa kura kushinda uchaguzi.
Iko hivi, mama anamalizia miaka minne ya chizi wa Chato.
2025 anaanza mitano ya kwake, 2030 mitano tena jumla 10, halafu wazalendo wa kweli wa Taifa hili tunampa mitano mingine ya shukrani mpaka 2035.
Kwahiyo wasukuma mngeelekeza nguvu zenu katika ujenzi wa vyoo kwa wakazi wa pembeni ya ziwa Victoria waache tabia ya kunya ziwani.
Ushauri huu ulipaswa kumpatia mwendazake kipindi yu hai maana yote ndio mwasisiHii akili ya Sukuma Gang kwa kila andiko ni kufilisika kimawazo na ni lugha chafu ya kiubaguzi. Mimi si Msukuma ila naamini usawa na udugu tulioujenga kwa miaka mingi. Jadili hoja acha kuhamisha mjadala kwa lugha zako mfilisi za ukabila .SHAME ON YOU
Tumheshimu Rais mstaafu Mzee Kikwete, kinachosikitisha ni threat zinazotolewa na watu kwamba kanda ya Ziwa hawafurahii. Je mtoa mada ni msemaji wa kanda Nzima? Je joha yako imeileta kuwakilisha kanda? Mwacheni Rais Samia aendelee kuijenga nchi mlipewa mkavuruga umoja wa kitaifa, sasa mnaendeleza yale yale ya kibaguzi. Shame on you mnaojinasibu watu wa kanda ya Ziwa. Nchi hii ni yetu sote. Tanzania ni kubwa kuliko wewe hata kanda inayoipigania.Kuna hatari fulani nimeanza kuiona, kuna maneno fulani nimeanza kuyasikia na kuna Mipango fulani ya kukomoana na kuhujumiana ndani kwa ndani nimeanza kuisikia pia.
Mimi sina uhakika kuwa kwa sasa Rais Samia ni TV Screen tu ila Rais Mstaafu Kikwete ndiye Remote Control kama watu wasemavyo, ila kama hili lina Ukweli basi kuna Hatari moja Kubwa ndani ya CCM na Serikali naiona inaenda kuja (kutokea)
Na wewe Rais Mstaafu Kikwete kama ni kweli una Ushawishi mkubwa katika Utawala huu wa Rais Samia tafadhali jishtukie upesi, kaa mbali nae na mwachie Mama nae atengeneze Legacy yake kwa huongelewi vyema na Watu wa Kanda ya Ziwa hasa baada ya Tukio Kubwa nchini la tarehe 17 Machi, 2021.
Kuna Taa Nyekundu ninaiona mahala!
Halima Mdee na wenzake 18 wana akili sana!Mama ndio Chifu mkuu wa machifu wote wa kisukuma. Chifu Hangaya.
Imekula kwenu, usimwani kiumbe mwenye njaa, wenzenu wameshaunga juhudi za mama na sasa mama Ndio Chifu mkuu wa Wasukuma wote duniani. [emoji23][emoji23]
Haya ni matatizo ya mfumo dume hapa nchini. Rais wa nchi ni Mama Samia, nafasi yake inamruhusu kutafuta ushauri kwa mtu yeyote yule ambaye anaona anafaa. Kuna wengine hawaamini kama mwanamama anauthubutu wa kufanya anayofanya katika kuendeleza hii nchi, lazima wamsogeze mwanaume kuwa ndiye anayeendesha nchi. Rais Samia ana uzoefu mkubwa katika uongozi - kutafuta suluhu na maafikiano. Rais Kikwete naye alikuwa anapenda kutawala kwa demokrasia. Hawa Marais wawili wanashabiana- wana mitazamo inayoendana, tofauti ni kwamba Rais Samia ni mkali na atakushughulikia kweli ukimzingua. Kikwete alikuwa anasamehe upesi. Utawala wa awamu ya tano haukutaka ushauri- ulikuwa na majibu ya matatizo yote yanayoikabili nchi. Ukivibana vyombo vya habari matatizo ya wananchi utayajuaje?Kuna hatari fulani nimeanza kuiona, kuna maneno fulani nimeanza kuyasikia na kuna Mipango fulani ya kukomoana na kuhujumiana ndani kwa ndani nimeanza kuisikia pia.
Mimi sina uhakika kuwa kwa sasa Rais Samia ni TV Screen tu ila Rais Mstaafu Kikwete ndiye Remote Control kama watu wasemavyo, ila kama hili lina Ukweli basi kuna Hatari moja Kubwa ndani ya CCM na Serikali naiona inaenda kuja (kutokea)
Na wewe Rais Mstaafu Kikwete kama ni kweli una Ushawishi mkubwa katika Utawala huu wa Rais Samia tafadhali jishtukie upesi, kaa mbali nae na mwachie Mama nae atengeneze Legacy yake kwa huongelewi vyema na Watu wa Kanda ya Ziwa hasa baada ya Tukio Kubwa nchini la tarehe 17 Machi, 2021.
Kuna Taa Nyekundu ninaiona mahala!
Wewe ni kiazi ,Kuna Rais alijenga barabara nchi hii kumzidi JK? Kuna Rais alitoa ajira nyingi nchi hii kumzidi JK? Kuna Rais alipanua elimu kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu kama JK? Kuna Rais ambae uchumi ulikuwa na ustawi wa watu kuwa mzuri kama JK?Mazuri gani ambayo Rais Mstaafu Kikwete kafanya kwa Tanzania alipokuwa Rais?
Next time try to hide your Stupidity Ok?
Tunataka kanda ya ziwa mwanza, Tabora, shinyanga na simiyu Uhuru wetu, tutambulike kama nchi, tumechoka kuwa chini ya hawa mbwa kwanza sisi sio watanzania sisi ni sukuma country, tujitenge tu tuwachie maeneo mengine mjitawale...Mzee Kikwete amsaidie Samia na haswa kwenye swala la Katiba mpya na Demokrasia.
Kuna hatari fulani nimeanza kuiona, kuna maneno fulani nimeanza kuyasikia na kuna Mipango fulani ya kukomoana na kuhujumiana ndani kwa ndani nimeanza kuisikia pia.
Mimi sina uhakika kuwa kwa sasa Rais Samia ni TV Screen tu ila Rais Mstaafu Kikwete ndiye Remote Control kama watu wasemavyo, ila kama hili lina Ukweli basi kuna Hatari moja Kubwa ndani ya CCM na Serikali naiona inaenda kuja (kutokea)
Na wewe Rais Mstaafu Kikwete kama ni kweli una Ushawishi mkubwa katika Utawala huu wa Rais Samia tafadhali jishtukie upesi, kaa mbali nae na mwachie Mama nae atengeneze Legacy yake kwa huongelewi vyema na Watu wa Kanda ya Ziwa hasa baada ya Tukio Kubwa nchini la tarehe 17 Machi, 2021.
Kuna Taa Nyekundu ninaiona mahala!
Mightier you are 100% right that what is being rumoured from the dark den might wage the never lasting battle and eventually the truth will be revealed for the worst to circumvent the community.Kuna hatari fulani nimeanza kuiona, kuna maneno fulani nimeanza kuyasikia na kuna Mipango fulani ya kukomoana na kuhujumiana ndani kwa ndani nimeanza kuisikia pia.
Mimi sina uhakika kuwa kwa sasa Rais Samia ni TV Screen tu ila Rais Mstaafu Kikwete ndiye Remote Control kama watu wasemavyo, ila kama hili lina Ukweli basi kuna Hatari moja Kubwa ndani ya CCM na Serikali naiona inaenda kuja (kutokea)
Na wewe Rais Mstaafu Kikwete kama ni kweli una Ushawishi mkubwa katika Utawala huu wa Rais Samia tafadhali jishtukie upesi, kaa mbali nae na mwachie Mama nae atengeneze Legacy yake kwa huongelewi vyema na Watu wa Kanda ya Ziwa hasa baada ya Tukio Kubwa nchini la tarehe 17 Machi, 2021.
Kuna Taa Nyekundu ninaiona mahala!
Tunataka kanda ya ziwa Uhuru wetu ,jumuia ya kimataifa itambue sisi ni free country, hii ni sukuma land,tunataka sovereigntyWewe ni kiazi ,Kuna Rais alijenga barabara nchi hii kumzidi JK? Kuna Rais alitoa ajira nyingi nchi hii kumzidi JK? Kuna Rais alipanua elimu kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu kama JK? Kuna Rais ambae uchumi ulikuwa na ustawi wa watu kuwa mzuri kama JK?
Hayo ni baadhi tuu tena hapa hatujanyumbua mradi mmja mmja..Una swali.jingine?
The mice will be screwed up in reciprocation for their evils; karma is a revolving shadowNi swala la mda tu shekh wangu. na ukiona mtu anaponda saaana habari ya Mwendazake wala usijali ndio dhana harisi ya upinzani
Ndio kawaida ya binadamu hata ufanyeje hawaishi kukosoa
Mkumbuke rais pendwa wa America bw JF Kennedy
Mwendazake huyu alifanya makuu kwa taifa lake lakini hao hao ndio walio mgeuka na kummaliza
When Mightier writes something alarming like this be very Careful as I'm always 99.99999 Sure.Mightier you are 100% right that what is being rumoured from the dark den might wage the never lasting battle and eventually the truth will be revealed for the worst to circumvent the community.
Maskini nyie si mtakufa ? Kwanza una habari mwaka huu kuna ukame huko kwenu? Tuone kama mtakula dhahabu kenge nyie.Tunataka kanda ya ziwa Uhuru wetu ,jumuia ya kimataifa itambue sisi ni free country, hii ni sukuma land,tunataka sovereignty
Kwanini viongozi wakitoka kanda ya ziwa wanachukiwa kama hawatutaki watu wa kanda ya ziwa, basiwatuache tujitawale #Tunataka Uhuru wetu tunataka kanda ya ziwa nchi yetu, tujitawale tuone tutakavyo piga hatua kuliko nyinyi watanzania, nadhani tutakuwa Taiwan mpyaNi swala la mda tu shekh wangu. na ukiona mtu anaponda saaana habari ya Mwendazake wala usijali ndio dhana harisi ya upinzani
Ndio kawaida ya binadamu hata ufanyeje hawaishi kukosoa
Mkumbuke rais pendwa wa America bw JF Kennedy
Mwendazake huyu alifanya makuu kwa taifa lake lakini hao hao ndio walio mgeuka na kummaliza