Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2956106
Kuna taarifa huyu mzungu anaeitwa Carl eric jonsson ana miliki kiwanda cha kutengeneza unga nchini Tanzania, ameoa mtanzania.
Huo unga inasemekana wanaweka vitu vinavyo ua nguvu za kiume na kuongeza hormon za kike kwa watoto wa kiume. Lengo lao kuu ni kusambaza na kueneza ushoga Tanzania. Tunaomba Serikali mfuatilie hili kusaidia kizazi chetu na tunaiomba serikali ifuatilie kiwanda hiki. Please okoa kizazi
hiki. chanzo.
View: https://www.facebook.com/100018091626510/posts/1435017770444597/?mibextid=oFDknk&rdid=GWiUeD4jNtS5WqXp
Kama ni kweli basi TBS na TFDA zifutwe zimewaumiza watanzania wengi sana kupitia kutowajibika na rushwaKuna taarifa huyu mzungu anaeitwa Carl eric jonsson ana miliki kiwanda cha kutengeneza unga nchini Tanzania, ameoa mtanzania.
Huo unga inasemekana wanaweka vitu vinavyo ua nguvu za kiume na kuongeza hormon za kike kwa watoto wa kiume. Lengo lao kuu ni kusambaza na kueneza ushoga Tanzania. Tunaomba Serikali mfuatilie hili kusaidia kizazi chetu na tunaiomba serikali ifuatilie kiwanda hiki. Please okoa kizazi
hiki. chanzo
Ujinga ni 98% kasoro Mimi, wewe na baadhi ya Watu...Hali ya ujinga nchi hii bado ni 90% WaTz ni watu wa mihemko sana na hawako tayari kujifunza pale wanapoona kitu hawakielewi, binafsi huwa nakaa kwenye page za habari za mitandao ya nje, mfano TSR ambayo ni udaku tu, lakini ikiwekwa mada hapo hiyo argument itakayoibuka hapo, watu wadogo kabisa kiumri wanavyojenga hoja!
Kuhusu huo unga, ni ujinga wa waTz baadhi au lah ni vita ya kibiashara.
Asante kwa kunichagua 😂😂😂Ujinga ni 98% kasoro Mimi, wewe na baadhi ya Watu...
Lakini ndio wazee wajinga kuliko wa ulaya japani na kwineko.Kuna nini nyuma ya hivi virutubishi?
Mbona wazee wetu wame survive miongo Kwa miongo pasipo hayo mavirutubisho?
Aina ya nafaka walizokuwa wakila hivi sasa hazipo, yale maharage tuliyokuwa tukichanganya na vipande vya maandazi kutengeneza zege hayapo. Ladha ya mahindi ya kuchoma au kupika si ile ya zamani, hivi sasa ni kama unakula pumba tu, mbolea za chumvi na mbegu za kutengenezwa maabara zimeharibu ubora wa nafaka, hivi sasa tunakula ili tuishi tu.Kuna nini nyuma ya hivi virutubishi?
Mbona wazee wetu wame survive miongo Kwa miongo pasipo hayo mavirutubisho?