Kabisaa anataka capitalise hali ya mambo ilivyo ili kupush biashara, kama ambavyo Ali Kiba alivyoweka watu na hamu kusikia na kuona press conference ya kile alichokiita,"TAMKO RASMI" baada ya trending story ya kumjibu Diamond, watu wakadhani ni tamko dhidi ya Diamond kumbe ni music tour yake, "ALI KIBA UNFORGETTABLE TOUR".Hiyo ni kutafuta tension ya watu.
Hawezi kuzungumzia mahusiano,anaenda kukuza biashara yake ya muziki. Ametumia hiyo chance ya kupata wafuatiliaji zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umewaza nilichowaza Mimi nakuunga mkono kwa asimilia 💯 jamaa mjanja Sana.Hiyo ni kutafuta tension ya watu.
Hawezi kuzungumzia mahusiano,anaenda kukuza biashara yake ya muziki. Ametumia hiyo chance ya kupata wafuatiliaji zaidi. Nyendo,
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa hayuko kwenye hayo mambo labda kwenye aspect nyingine
Sizani Kama anatumia hayo mambo hiyo ni sector ya ommy dimpoz na hemed PHD labda kwenye mambo ya kuchora tattoo au kupenda mademu hapo ndo diamond utampata.Hivi anatumia?
Ataongea kuhusu maswala ya kombe lao la mpira wala hata sio mambo hayoDiamond amepost kwenye page yake ya Instagram kuwa ataongea na waandishi wa habari kesho huku kukiwa na uvumi wa utata kwenye mahusiano yake.
Inasemeka kuwa Diomond na Tanasha wapo kwenye mgogoro mzito na ikidaiwa kuwa penzi lao limefika mwisho. Je, ndicho kitu ambacho Diamond anataka kukizungumzia kesho kwa waandishi wa habari?
Jambo hilo bado limewaacha watu wengi na maswali kama ni kweli wameachana au ni uvumi wa watu, naamini kesho watapata majibu juu ya utata uliopo kwenye mahusiano ya wazazi wenza hawa.
We ni hamisa mobeto?Atajua yeye hayanihusu me, kwani wakati wanatongozana waliita press mxieeeeeeeeeeeeeeew
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo haiwezi kutokea aache music ambapo unampa hela nyingi na umaarufu mkubwa aende bungeni? Maana ukiwa mbunge itamlazimu aache show zake auzulie kwenye vikao vya bunge wakati show yake moja malipo yake ni sawa mshahara wa miezi 7 ya ubunge