Uvumi wa kuachana na Tanasha; Diamond Platnumz kuongea na waandishi wa habari kesho Serena Hotel

Diamond hata ajitetee vipi. ukweli nikwamba ni Muharibifu kama walivyo wengine tu ,..yaan wanawake wote hao alikua nao..alowazalisha, hajapatikana hata wife material mmoja??
Tangu lini Diamond amemuona anafanya press conference anazungumzia mahusiano yake?
 
Hivi iliishiiaga wapi ile TUA???
Sent using Jamii Forums mobile app
 


Wameachanaa..???? Kwani walikuwa wameowana???
Kila mtu apambane na hali yake..wakati wanatongiozana hawakutuambia na kuachana waachane kimya kimya hivyo hivyo
 
Pongezi kwa Diamond kwani kuna vijana wenzetu wanaenda kupata mkate wao kesho kupitia media zao kama vile YouTube channel, n.k
Think Big and outside the box. Proud to be diamond platnumz
 
Mbona kama hayo ni mambo binafsi na hayatuhusu kabisa.
 
Mbona sijaona alipoandika kwamba ataongea kuhusu Tanasha
 
Hivi "ALI KIBA UNFORGETTABLE TOUR" iliishia wapi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…