Uvumilivu umenishinda, naelekea Zenji leo hii 23/05/2025.

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,598
Reaction score
9,539
Hakika uvumilivu umenishinda, siwezi kusubiria hadi j.pili, siwezi kuangalia kwenye luniga, leo hii naondoka na boti kuelekea zenji kwenda kuhakikisha Timu bora Africa Simba Sport Club inashinda na kuchukua kikombe.
Naomba wazenji wanitafutie mahali pa kufikia.
UBAYAAAAA.......UBWELAAAAA.
 
UBAYA UBWELA KARIBU YAKHEE KIZIMKAZII KWA MAMA UROJO UPO.Zandrano Tembea Kifua Mbele kikombe ni chetu mwaka huu Simba ni timu ya FIFA sitaki niseme sana lakini Simba atashinda kwa halali au kwa haramu lazima ashinde na mutakauja toa ushahidi hapa .
 
Asante, nakuja na zana zangu zote.
Ushindi ni lazima. nakuja na boti ya saa 7
 
Ukifka voo ushukie hapa bububu twende wote voo,

Hafu bara wabeba nn shiekh, huku vitu ghali mpk twataman bara voo,
 
Hakika uvumilivu umenishinda, siwezi kusubiria hadi j.pili, siwezi kuangalia kwenye luniga, leo hii naondoka na boti kuelekea zenji kwenda kuhakikisha Timu bora Africa Simba Sport Club inashinda na kuchukua kikombe.
Naomba wazenji wanitafutie mahali pa kufikia.
UBAYAAAAA.......UBWELAAAAA.
Fikia ghetto kwangu ila uniangalizie cha kunilipa maana huwezi kula na kulala kwangu siku nne bila malipo..utaangalia cha kunitunuku.
 
Ukifka voo ushukie hapa bububu twende wote voo,

Hafu bara wabeba nn shiekh, huku vitu ghali mpk twataman bara voo,

Sawa, ila kuna jamaa kanialika hapo mchamba wima. nitaanzia hapo kisha naja hapo bubuu
 
Aaaaah sawa sawa, kiwengwa napo upite voo, ule vya kisiwani, kila siku vya bara napo upumzishe
Tayari nimesha wasili zenji.
hakika zenji ni salama.....atakaye ni aje....kumetulia tuliii...
nimeona ukarimu mkubwa.
 
Back
Top Bottom