UBAYA UBWELA KARIBU YAKHEE KIZIMKAZII KWA MAMA UROJO UPO.Zandrano Tembea Kifua Mbele kikombe ni chetu mwaka huu Simba ni timu ya FIFA sitaki niseme sana lakini Simba atashinda kwa halali au kwa haramu lazima ashinde na mutakauja toa ushahidi hapa .Hakika uvumilivu umenishinda, siwezi kusubiria hadi j.pili, siwezi kuangalia kwenye luniga, leo hii naondoka na boti kuelekea zenji kwenda kuhakikisha Timu bora Africa Simba Sport Club inashinda na kuchukua kikombe.
Naomba wazenji wanitafutie mahali pa kufikia.
UBAYAAAAA.......UBWELAAAAA.
Asante, nakuja na zana zangu zote.UBAYA UBWELA KARIBU YAKHEE KIZIMKAZII KWA MAMA UROJO UPO.Zandrano Tembea Kifua Mbele kikombe ni chetu mwaka huu Simba ni timu ya FIFA sitaki niseme sana lakini Simba atashinda kwa halali au kwa haramu lazima ashinde na mutakauja toa ushahidi hapa .
Piga ua! Ushindi ni lazima.Unaenda kuhakikisha?
Unaingia uwanjani kucheza au una njia zako za kuhakikisha nje ya uwanja
Utaenda kufa tu na pesha.
Fikia ghetto kwangu ila uniangalizie cha kunilipa maana huwezi kula na kulala kwangu siku nne bila malipo..utaangalia cha kunitunuku.Hakika uvumilivu umenishinda, siwezi kusubiria hadi j.pili, siwezi kuangalia kwenye luniga, leo hii naondoka na boti kuelekea zenji kwenda kuhakikisha Timu bora Africa Simba Sport Club inashinda na kuchukua kikombe.
Naomba wazenji wanitafutie mahali pa kufikia.
UBAYAAAAA.......UBWELAAAAA.
πππUnaenda kuhakikisha?
Unaingia uwanjani kucheza au una njia zako za kuhakikisha nje ya uwanja
Acha roho mbaya basiSimba 2-1 berkane
Aggregate 2-3
Ukifka voo ushukie hapa bububu twende wote voo,
Hafu bara wabeba nn shiekh, huku vitu ghali mpk twataman bara voo,
Aaaaah sawa sawa, kiwengwa napo upite voo, ule vya kisiwani, kila siku vya bara napo upumzisheSawa, ila kuna jamaa kanialika hapo mchamba wima. nitaanzia hapo kisha naja hapo bubuu
Tayari nimesha wasili zenji.Aaaaah sawa sawa, kiwengwa napo upite voo, ule vya kisiwani, kila siku vya bara napo upumzishe
Karibu yaheeeTayari nimesha wasili zenji.
hakika zenji ni salama.....atakaye ni aje....kumetulia tuliii...
nimeona ukarimu mkubwa.