uvumilivu...

uvumilivu...

Kukua nimeshakua sema kuoa ndio bado.

dogo kukua haimaanish kubalehe bali ni kukua kiakili, yaani kuwa na uwezo mpana wa kupambanua mambo na kukubali majukumu ya kibaba. hapo bado hujafika aisee your avatar can tell. however kama huna miaka 23 basi unayo 22 ndo maana nikasema hivyo. so sijakunder estimate age wise kama ulivyodhani.
 
Dah! haya bwana mie dogo. But what if you are wrong?
 
my dearest sister sasa huyo mama mdogo watu watasema alikuwa mjinga labda ama hana kazi ama elimu etc. mimi naomba nikupe ushuhuda kidogo tu wa kwangu binafsi na nisemapo nimepita namaanisha.

mume waliwah kununua gari zuri sana sikuwa kulipanda zaid ya kimada aitwae ANA. nakumbuka enzi hizo nikienda salun sinza anakuja na pikipiki ya mume wangu ananitukana matusi ya nguoni na kunidoboleshea wanayofanya na mr ndani ya gari. sikuwah kumjibu hata siku moja wala kulia nillisema silii.

haikuishia hapo nyumba tuliyojenga alijua atahamia yeye akaja kunipa mchambo mtakatifu nikiwa nasuka nywele saluni moja mitaa ya sinza, kurudi home mr ukimweleza anakwambia kabisa wewe kwanini ulienda kusuka huo si unamfuta mwenyewe, ngoja akuumize. hapo napo nilivumilia.

kibaya zaid nilichukulia kama changamoto sikushtaki kwa nani wala nani na niliua hisia za hasira manake natoka kabila moja hivi so sikupende watu wachukulie kama sababu, wala sikumchukulia Rb. nikiwa navumilia bado mr alisafiri aliporudi alishukia kwake na zawadi zote za ulaya nakumbuka sitasahau. na baada ya siku kama 5 ndipo wanakuja wote home usiku nikamkaribisha. waliingia wote ndani hadi kwa rum, sikufichi walilala nikalala na watoto.

asbh wanaamka wanakuta hadi chai na supu iko mezani, walihisi nimetia sumu but niliwahakikishia kwa kula pamoja nao na watoto na nikafuta meza nkawaualiza mchana watakula nini. mtoto wa mume wangu ndiye aliyeuliza baba huyu ni nani? yule mwanamke aliapotaka kujibu tu ikawa kama mume wangu kaumizwa akamwambia tena kwa ukali wewe kahaba toka ndani mwangu. Nilishtuka kama naimepigwa shoti ya umeme. Mr alikasirika sana akataka kumpiga lakini nilimtetea yule mwanamke ili asije akaumizwa. mimi na wanangu tulilia sana.
yule ANA alitolewa ndani kama mwizi kwa mateke akiwa amejifunga kitenge changu kiunoni. na hapo bado mume wangu alikuwa na mtoto wa mashtuzi ambaye nilimkuta na niko nae hadi leo.

mume wangu alishangaa sana moyo wangu jinsi ulivyo, uvumilivu na upendo wangu kwake ulimbadilisha ndio maana nimwambiapo King'asti kuwa uvumilivu humbadilisha hata shetani kuwa malaika ni kweli nimeshuhudia. leo hii nina miaka zaid ya 10 na naifurahia ndoa. naamini hakuna binti ambaye anaweza kupita hapa ila mimi nilichoangalia ni nataka nini kwenye maisha yangu? na je kwanini nitaabishe amani yangu?

haikuwa kazi rahisi kuvumilia ila ni Mungu tu alinivusha sikuwah kushtaki hata siku moja kwa mama wala ndgu wa pande zote mbili wala kwa shosti zaid ya Mungu. niliia hadi mto ukalowa machozi nilisali hadi kung'ata sura za biblia nakumbuka zab 16&17. hadi leo hii hiyo biblia inaalama za meno ambazo nilizitia miaka kama 7 hivi iliyopita.

nihitimishe kwa kumtia mama mwenzangu moyo kuwa Mungu anaweza yote usimweleze mtu sema na Mungu. halafu omba amani uone yani muujiza hutokea punde.
khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! no comment! speechless!
 
dah..nimekosa cha kuchagia hapa....
duh....

ningekuwa na moyo au roho kama ya kwako ningefurahi sana, ila mimi uvumilivu zero kabisa kila nikijatahidi nashindwa
sijuhi nifanyaje?

Hongera gfsonwin maneno yameniishia.

Hapo kwa red pamenigusa sana dada gfsonwin, hadi mwili umenisisimka! but in a positive way

gfsonwin nimeguswa sana na ushuhuda wako......
Nilisita kidogo kuchangia mwanzoni kwa sababu nilikuwa nasubiri nione wenzangu watasemaje.
Neno uvumilivu ni msamiati mgumu sana kuumeza, wengi hapa wamekuja na ushuhuda mwingi kuonyesha kwamba yapo yasiyoweza kuvumilika... Je ni kweli wanayosema? hapo ndipo ninapotaka kujikita.
Naomba nikiri kwamba, wakati mwingine kuna ugumu kukabiliana na hali isiyopendeza, kuna wakati mwingine kiwango chetu cha uvumilivu na subira hufika kikomo, ni pale tu imani zetu na matarajio yetu yanapokuwa hayajatikiswa ndipo tunapoweza kumudu kusimama imara na kuwa na subira, na mara nyingi subira huwa inalipa. kuna wakati kelele za nje na kukatishwa tamaa hutuondoa katika urazini (awareness)na kujikuta tukiingia katika ugigili (frustration) na kukosa subira, na hapo ndipo maamuzi yasiyo na busara huchukua nafasi.
naomba niseme tu kwamba ni wachache sana wanaoweza kumudu changamoto kama iliyokupata na wakamudu kuvuka...... Lakini pia kuna kiwango ambacho mtu hufikishwa, uvumilivu ukafika kikomo................

gfsonwin pole mumie, una moyo wa chuma. Yaani nakuhakikishia ni wanawake wa kuhesabika wangeweza kuvumilia hilo tukio ukizingatia ni dharau ya juu mumeo alikuonyesha kuja na ANA nyumbani kwenu na kulala nae hapo jamani..

Huh, pole sana kwa yote uliyopitia..Kama ulivumilia hilo kwenye ndoa sidhani kama kuna lingine litakuteteresha.

gfsonwin,bado sijaona cha kujifunza kwenye mchezo wako wa kifo.Hebu niambie,Mungu alikuoneshaje kuwa huyo ni mume bora mpaka ufikie kuvumilia mambo ya hatari kiasi hicho?Huo sio upendo ni maradhi.Narudia tena siwezi kumshauri mtu afanye hayo.Upendo haupo hivyo.Upendo ni pamoja na kujipenda.Unapojipenda ndipo unajifunza kupenda wengine,kuwapenda wengine ukajiacha wewe ni tatizo.Ni kweli mtu hujaribiwa na kile akipendacho lakini majaribu mengine ni sauti ya kukuambia uondoke mahali ulipo.Sihitaji kukua zaidi ya hapa ili kuyajua haya!

khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! no comment! speechless!

Ngumu kumesa hii makitu? Ngoja nikwende kumtafutaga Shigongo mie.....

:car:
 
thread nzuri gfsonwin , ila mimi binafsi naweza kuvumilia mambo yaliyo nje ya uwezo wangu mf. ugonjwa, ajali nk, lakini dharau/cheating/abuse hapana. Naamini upendo first then uvumilivu. as long as you love me then we will make through hell and back.

sawa kabisa mkuu
 
Eiyer mdogo wangu panapo upendo wa kweli, na ukawepo uvumilivu wa dhati, nakushuhudia kwamba hutomuepuka bali utambadilisha. ilinichukua miaka 4-5 kuishi maisha ya tabu dhiki na majonzi na vilio lakini ikanichukua kitendo cha dakika moja ama mbili kubadilisha kila kitu kuwa historia.

ninaposema uvumilivu hauhesabu gharama namaanisha mdogo wangu, usikimbilie kwenye gharama bali angalia wewe amani yako waipata wapi? sikufichi Eiyer wewe ni mdogo wangu nakupenda sana na sipendi kukukuza kwa maneno haya ila naomba nikwambie kwa faida ya wengine pia.

niliangalia haya ili kuvumilia, nimeolewa nikiwa bikira skumjua mwanaume anafananaje, na nikasema sitatoka nje ya ndoa yangu na hiyo iko hivyo manake sitaki, sasa mume amenionyesha sura tofauti nifanyeje? je niondoke halafu nitaweza kuish pasi kutiwa? je kuna magonjwa anaweza kuniletea nikasema kama Mungu upo umeniona nilivyojitunza kama utaruhusu nife kwa UKIMWI sawa ni mapenzi yako ila nakuomba angalia uaminifu wangu kwako, hapo hapo nikawaza hivi huko nje si ndio naufuata ukimwi kabisa? ni bora aniletee kuliko tuleteane kwa wakati huo. nikawaza je kuvunja mwiko niliojiwekea nitakua na amani? Pia niliwaza nina watoto nimezaa, na kunammoja wa mashtuzi wa mr je huyu naye nikiondoka hatima yake itakuwa ni nini?

sikupenda kufanya maamuzi ya papara bali niliitafuta amani ya Mungu na kwa wakati wake alinijibu na sasa napeta kwenda mbinguni. Ni ngumu kama utaamua kwa akili zako na za marafiki ama watu wa karibu yako ila ni rahisi kama Mungu atakuamulia
.

Hapo kwa red pamenigusa sana dada gfsonwin, hadi mwili umenisisimka! but in a positive way
Hata mie pamenigusa, ila hapo kwa blue ndo pamenigusa saidi na saidi na saiiiiii, saidi kweli babaangu.
:ranger:
 
Yaaaaani babu umezeeka vibaya hivyo
Unatusahau wajuu wa kale....

Haya babu mi ngoja nikalie kwenye kona
imeniuma sana 🙁
Hapa ishu si kukaa pembeni, ishu ni kuwa unajua kabisa mkongojo ulonletea umepinda, ugoro umeniishia hivi nlivomwambia mama yako akuzae nlikosea?
 
Hapa ishu si kukaa pembeni, ishu ni kuwa unajua kabisa mkongojo ulonletea umepinda, ugoro umeniishia hivi nlivomwambia mama yako akuzae nlikosea?
We si ulinifukuza eti nnlikuletea ugoro
umeloa Mara mkongojo umepinda Mara
hunitaki unawajuu wapya na umesha wakagua
..... Mi bado na wivu na ninaondoka zangu ...
 
Back
Top Bottom