Uvunjaji wa sheria barabarani, with impunity!

Barabarani huko nako je? Sheria ipi wanayofuata? Ni kuheshimu zebra crossing au ni kwenye speed limits? Vipi ajali zao?

Wanachangia ajali ngapi?
 
Labda huyo Dreva hajui maana ya hicho kibao nini?

Ila hata hivyo % kubwa ya madereva wa magari ya Serikali wana viburi sana wanajiona wao ndio wao.
 
Unashangaa hlo dogo Tu hushangai wakipita.

Rongside bila hata kujali wanaweka watu kwenye folen na hakuna kokote wanakokimbilia
 
Labda huyo Dreva hajui maana ya hicho kibao nini?

Ila hata hivyo % kubwa ya madereva wa magari ya Serikali wana viburi sana wanajiona wao ndio wao.
Hili limeshakuwa tatizo sugu barabarani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…