Uvunjaji wa Shule za Msingi kwa kisingizio cha kujenga shule za Sekondari

Uvunjaji wa Shule za Msingi kwa kisingizio cha kujenga shule za Sekondari

sitaki hela

Member
Joined
Oct 10, 2022
Posts
93
Reaction score
117
Kama kichwa kinavyojieleza suala la kuvunja shule ya msingi kwa kisingizio kuwa kujenga shule ya secondari SI SAWA kabisa kwani, na hili tatizo naona linataka kushamiri

Maeneo yapo mengi ya ujenzi, unawakosesha watoto haki zao za msingi kwani mtoto anaenda kuanza mazingira ambayo alikuwa hajayazoea, na ukumbuke eneo hilo bado linahitaji watoto kwani watoto wa eneo husika wanaongezeka,

Mimi nilimuhamisha mwanangu kwenda shule nyingine baada ya shule hiyo kuvunjwa saa na hiyo shule niliyompeleka nayo imefutiwa matokeo

Halmashauri mtafakari hilo suala la uvunjaji wa shule msingi kwa kisingizio shule shikizi, hapa nazungumzia manispaa moja iliyopo Dar es Salaam

Hatupendi shule za msingi ziwe na msongamano wa wanafunzi darasani, unakuta Darasa moja wanafunzi 350😁😁😁,SI haki na wakati sera ya elimu inasisitza Darasa liwe na wanafunzi SI Zaidi ya 45

FIKIRINI,TAFAKARINI, MTOE MAAMUZI
 
Sijaipata kabisa mantiki ya hoja yako. Ukizingatia na ubovu wa uandishi ndiyo wasomaji wanachoka kabisa.
 
Back
Top Bottom