Uvutaji wa Sigara husaidia kulainisha choo kwa wenye tatizo la kupata choo kigumu

Skunk weed inatabia hiyo, ila sio hapo hapo. Na choo chake huwa very offensive.
Ndani ya bangi/sigara kuna kemikali za nicotine/cannabine n.k. ambazo utolewaji wake ni kama dawa inavyotolewa ktk mwili, kwa maana kuna kiwango kitakolewa kwa njia ya jasho, mkojo, kupumua na kiasi chingine kwa njia ya haja kubwa.
 
Mara zote ambazo nimekuwa nikisumbuliwa na kupata choo, nimekuwa nikishauriwa kuvuta sigara ili kupambana na hali hiyo.

Jana nikiwa na mshikaji wangu Kanjunju ofisini, akaniambia ana shida ya kupata choo hivyo akaenda kwa mangi kuvuta sigara, akadai kuwa njia hii imekuwa ikimsaidia kusukuma na kupata choo kilaini.

Kabla sijaanza kuitumia sigara kama tiba, napenda kujua ukweli. Sipendi kuwa mhanga upotoshwaji wa tiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…