Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Tanzania tuna eneo la mwambao wa bahari kutoka Kaskazini mpaka Kusini lenye urefu upatao 1084km, idadi ya vyombo vya uvuvi upande wa Bahari ya Hindi ni pungufu ya vilivyo ziwa Victoria.
Ripoti ya mwaka 2019 ilionyesha bidhaa za uvuvi Kutoka baharini zilizopelekwa nje ya nchi ilikuwa ni Tani 5 tu Kutoka baharini, huku majibu ya utafiti yakionyesha Uhitaji wa bidhaa hizi kupungua kwenye migahawa na mahoteli makubwa.
Tunaelekea msimu wa uvuvi wa Kamba na jamii ya samaki hao(Lobster, Live Lobster, Crab, Octopus, Prawns) vibali huanza kutolewa Mwezi wa 3 mpaka mwezi wa 9. Hawa huvuliwa kwenye Ukanda wa maji mafupi (Territory water) umbali usiozidi 12mile na hawaruhusiwi kusogea kwenye maji yanayopungua mita 5.
Uvuvi wa Kamba una Zone hizi Bagamoyo-Sadani-Pangani, Mafia-Nyamisati-Kilwa Kivinje.
Uvuvi huu hauhitaji vyombo vikubwa kama uvuvi wa Bahari kuu (Deep Sea Fishing), uvuvi huu hutumia vyombo vinaendeshwa na injini na kasia.
Kwa ushauri na utengenezaji wa boti za aina tofauti karibuni Spabiton Civil and General Construction Limited