Uvuvi wa samaki jamii ya kamba (Lobsters, Crab, Octopus)

Uvuvi wa samaki jamii ya kamba (Lobsters, Crab, Octopus)

Offshore Seamen

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Posts
5,489
Reaction score
14,091
Tanzania tuna eneo la mwambao wa bahari kutoka Kaskazini mpaka Kusini lenye urefu upatao 1084km, idadi ya vyombo vya uvuvi upande wa Bahari ya Hindi ni pungufu ya vilivyo ziwa Victoria.

Ripoti ya mwaka 2019 ilionyesha bidhaa za uvuvi Kutoka baharini zilizopelekwa nje ya nchi ilikuwa ni Tani 5 tu Kutoka baharini, huku majibu ya utafiti yakionyesha Uhitaji wa bidhaa hizi kupungua kwenye migahawa na mahoteli makubwa.

Tunaelekea msimu wa uvuvi wa Kamba na jamii ya samaki hao(Lobster, Live Lobster, Crab, Octopus, Prawns) vibali huanza kutolewa Mwezi wa 3 mpaka mwezi wa 9. Hawa huvuliwa kwenye Ukanda wa maji mafupi (Territory water) umbali usiozidi 12mile na hawaruhusiwi kusogea kwenye maji yanayopungua mita 5.

Uvuvi wa Kamba una Zone hizi Bagamoyo-Sadani-Pangani, Mafia-Nyamisati-Kilwa Kivinje.

Uvuvi huu hauhitaji vyombo vikubwa kama uvuvi wa Bahari kuu (Deep Sea Fishing), uvuvi huu hutumia vyombo vinaendeshwa na injini na kasia.

download.jpeg
images (7).jpeg
download (1).jpeg
download (3).jpeg

Kwa ushauri na utengenezaji wa boti za aina tofauti karibuni Spabiton Civil and General Construction Limited
 
Nani kakuambia Lobuster ni samaki? Ndio maana zamani biology ilikuwa mandatory ila siku hizi mtoto anazaliwa na ukilaza wake hataki somo lolote la sayansi eti katoto kako form one utasikia mimj ni HKL matokeo yake ukubwani ndio haya

Lobuster tyupo phylum arthropoda sawasawa na n'ge, buibui kaa nakadhalika
 
Lobster ni samaki gamba kingereza ni Shellfish sawa na hao wengine kama Kamba na kaa
 
Nani kakuambia Lobuster ni samaki? Ndio maana zamani biology ilikuwa mandatory ila siku hizi mtoto anazaliwa na ukilaza wake hataki somo lolote la sayansi eti katoto kako form one utasikia mimj ni HKL matokeo yake ukubwani ndio haya

Lobuster tyupo phylum arthropoda sawasawa na n'ge, buibui kaa nakadhalika
Hapo hatufanyi Classification mkuu au generic naming. Nimetumia Samaki kama neno la jumla sababu hiyo ni fisheries product
 
Back
Top Bottom