Taasisi nyingi zikiwemo shule watahamia kweny mfumo wa control number badala ya account numberMhhhh hii ngumu na kama unalipa fee shule au rent hyo risit c mtasumbuana Sana nao
Maana risit locally rahis Sana kuifoj
Control namba Kwa shule sidhan Kama ni rahisi ki hivyoTaasisi nyingi zikiwemo shule watahamia kweny mfumo wa control number badala ya account number
teknolojia inachanja mbugaHabari za leo wakuu:
Siku hizi mawakala wapya wa NMB wanasajiliwa bila ya kupewa zile mashine za kutolea risiti badala yake wakala anafanya kupitia simu yake ya mkononi hivyo mteja anaondoka na ile risiti moja ambayo ameijaza na wakala atagonga mhuri . Kwa wazoefu hii haileti changamoto kwa wateja?
Naomba kuwasilisha
Umeongea vzr sema ina mapungufu wakala huwezi mlipia mtejabili wala malipo ya serikali na wateja wengine Elimu ni ndogo wanakomaa wanataka risiti za mashine .Iko poa tu, shida ni vile wateja hatujazoea huo utaratibu mpya, baada ya muda kila kitu kitazoeleka tu.
Hivi unakumbuka jinsi ilivyokuwa ngumu kuamini kama unaweza kutuma pesa kwa njia ya simu? Yaani unatuma pesa baada ya dakika moja unampigia uliyemtumia pesa na kumwambia kama pesa imeingia kwenye simu yake basi chap chap aende kwa wakala ikaitoe kama kweli itatoka!
Upo wa kutoa kwa wakala anapewa token then anampa wakala ni Elimu tu itawafikiaHuu mfumo unasumbua sana kwani mteja pia hawezi kutoa kwa Kadi ni mfumo mzuri ila mawakala tunakosa ssna biashara
👍Haina shida hiyo