Uwakala wa simu original au laptop

Uwakala wa simu original au laptop

Fungo N.

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
252
Reaction score
43
Mimi ni Mwl Wa sekondari nipo Chalinze,nina Duka dogo la kawaida la nguo na vifaa vingine.Kikubwa kwangu natafuta mtu yeyote ambaye naweza kushirikiana naye kwa makubaliano maalumu kuuza laptops au simu original katika shule mbalimbali za sekondari hapa bagamoyo kama wakala.BIASHARA HII NAWEZA KUIFANYA KWA USTADI MKUBWA na KWA UAMINIFU .Kama kuna mtu ambaye yuko tayari tuwasiliane kupitia 0683081550.
 
Wazo lako zuri mwalimu,tatizo linasumbua sana jamii yetu ni uaminifu na kuaminiana,
Naimani WaPo wadau wenye nia na uwezo mtasaidia nikutakie kila la kheri
 
NASHUKURU KWA WALE WALIONIPIGIA SIMU,HOPE TUTAJADILI ZAIDI TUKIONANA.Asanten
 
Back
Top Bottom