budebajr JF-Expert Member Joined Jun 26, 2016 Posts 380 Reaction score 226 Jan 2, 2020 #1 Tujuzane machache soko la utalii tunalionaje, kuanzia miaka ya nyuma na hivi sasa hususani ukuaji, maeneo yanayokua, changamoto, muamko wa wazawa (Watanzania) na hata ongezeko la watalii kutoka nje ya nchi.
Tujuzane machache soko la utalii tunalionaje, kuanzia miaka ya nyuma na hivi sasa hususani ukuaji, maeneo yanayokua, changamoto, muamko wa wazawa (Watanzania) na hata ongezeko la watalii kutoka nje ya nchi.
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,097 Reaction score 17,929 Jan 2, 2020 #2 Ngoja waje kukupa muongozo
budebajr JF-Expert Member Joined Jun 26, 2016 Posts 380 Reaction score 226 Jan 2, 2020 Thread starter #3 mjr95 said: Ngoja waje kukupa muongozo Click to expand... Sawa kaka.