The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Kama uwakilishi haukuwa mzuri kipindi hicho pia kuna shida tukifanya maboresho awamu hii??
Sikuwahi kabisa Ku pay attention Kwa hao watoto wala kwangu sio issue hata kama watavaa misalaba ..asiwepo hata mmoja alievaa hijab sitakosa usingizi wala kuanzisha thread....wewe why unasumbuka na vitu vidogo hivi...???