The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 Mar 30, 2023 #21 Yoda said: Kama uwakilishi haukuwa mzuri kipindi hicho pia kuna shida tukifanya maboresho awamu hii?? Click to expand... Sikuwahi kabisa Ku pay attention Kwa hao watoto wala kwangu sio issue hata kama watavaa misalaba ..asiwepo hata mmoja alievaa hijab sitakosa usingizi wala kuanzisha thread....wewe why unasumbuka na vitu vidogo hivi...???
Yoda said: Kama uwakilishi haukuwa mzuri kipindi hicho pia kuna shida tukifanya maboresho awamu hii?? Click to expand... Sikuwahi kabisa Ku pay attention Kwa hao watoto wala kwangu sio issue hata kama watavaa misalaba ..asiwepo hata mmoja alievaa hijab sitakosa usingizi wala kuanzisha thread....wewe why unasumbuka na vitu vidogo hivi...???