HACHOKI TALEMWA
Member
- Mar 4, 2013
- 93
- 9
Sabheri wakuu wote JF!Mda mrefu uwalimu umeonekana ni wa watu waliofeli mtihani na waliokosa mahali pa kwenda lakini nimefanya utafiti nikaona sekta ya afya ndo inaongoza kwa kuwa na watu wenye 0 na 4 katika mitihan! utafiti wangu ni sahihi au hapo nimejichanganya?
Mda mrefu uwalimu umeonekana ni wa watu waliofeli mtihani na waliokosa mahali pa kwenda lakini nimefanya utafiti nikaona sekta ya afya ndo inaongoza kwa kuwa na watu wenye 0 na 4 katika mitihan! utafiti wangu ni sahihi au hapo nimejichanganya?