Uwalimu na secta ya afya(nurse,waganga, na wengine kama hao)

Uwalimu na secta ya afya(nurse,waganga, na wengine kama hao)

Joined
Mar 4, 2013
Posts
93
Reaction score
9
Mda mrefu uwalimu umeonekana ni wa watu waliofeli mtihani na waliokosa mahali pa kwenda lakini nimefanya utafiti nikaona sekta ya afya ndo inaongoza kwa kuwa na watu wenye 0 na 4 katika mitihan! utafiti wangu ni sahihi au hapo nimejichanganya?
 
kaangalie qualifications za kujiunga chuo cha afya
 
au na wewe ulipata 4 au zero, achana nayo mimi nilipata 1 4m4 na 2 4m6 lakini ninasomea uwalim udsm. jipange tenaa
 
ni kweli...... qualification zao kote ni majanga
 
Kada ya medical attendant,nursing,medical records na clinical officers zinaweza kuongoza kwa kuwa na hizo div 4!
 
Mda mrefu uwalimu umeonekana ni wa watu waliofeli mtihani na waliokosa mahali pa kwenda lakini nimefanya utafiti nikaona sekta ya afya ndo inaongoza kwa kuwa na watu wenye 0 na 4 katika mitihan! utafiti wangu ni sahihi au hapo nimejichanganya?
Sabheri wakuu wote JF!
Inategemea utafiti wako umeufanya kuanzia intake za miaka gani kwenye fani za afya kama ni intake 2005 kurudi hadi nyuma miaka ya 1990 unaweza kuwa SAHIHI kabisa! Kwani kipindi hicho ilimradi mtu awe na cheti tu cha F4 bila kujali ni fake au original na cha pass au failure alikuwa anatinga kwenye fani... Ila baada ya 2005 kama huna ufauli stahili na bahati ya kuchaguliwa kwenye hizo fani utazikia tu kwa wengine... Labda uombe vyuo binafsi.
Tchao!
 
Mda mrefu uwalimu umeonekana ni wa watu waliofeli mtihani na waliokosa mahali pa kwenda lakini nimefanya utafiti nikaona sekta ya afya ndo inaongoza kwa kuwa na watu wenye 0 na 4 katika mitihan! utafiti wangu ni sahihi au hapo nimejichanganya?

Bora hata ualimu,mimi nina ushahidi wa kutosha kuna marafiki zangu wanasoma nursing huku wana zero form fouq.Mungu inusuru afya mungu inusuru Tanzania
 
Acha uongo hapa dar kuna vyuo hvyo lakini kuajiliwa na serikal ni issue coz hawana qualification waambie wanapoteza mda.co div 4 cjawah ona toka nizaliwe labda vyuo mlivyofungua na ukoo wenu mkuu ndo mko huko analog.
 
Back
Top Bottom