Uwanja mkubwa wa kisasa wa mpira wa miguu Dodoma upo katika hatua gani?

Uwanja mkubwa wa kisasa wa mpira wa miguu Dodoma upo katika hatua gani?

Nchi haina madawa
Mishahara ya wafanyakazi icho chini af ww unawaza kiwanja cha mpira ambao ata kombe la Afrika tu limetushinda kushiliki
Utumie mabilion kutengeneza kitu kisicho na faida kwa taifa
 
Kombe la afrika tumefeli kushiliki kombe la dunia ndo imekua ndoto km sio historia
Af serikal itumie billion za pesa kufanya kitu kisicho na faida kwa taifa bora iyo pesa ipelekwe bodi ya mikopo ya elimu ya juu
 
Nchi haina madawa
Mishahara ya wafanyakazi icho chini af ww unawaza kiwanja cha mpira ambao ata kombe la Afrika tu limetushinda kushiliki
Utumie mabilion kutengeneza kitu kisicho na faida kwa taifa
Binafsi hata mimi naona ni matumizi mabaya ya fedha muhimu kutoa muongozo kuhusu fungu alioahidi mfalme wa Morocco limetumika vipi ili kuondoa ukakasi watu kuhisi labda limechikichiwa.
 
Moja kwa moja..
Miaka kadhaa imepita (toka 2016) tuliposikia kuhusu ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu Dodoma unatarajia kuchukua watazamaji 80,000 na miundombinu mingine. Ikiwa kama ushrikiano wa serikali ya JMT na Morocco huku serikali ya Morocco ikiahidi kutoa fungu kusaidia ujenzi huo

Muda umepita sasa bila kupata habari zozote kuhusu maendeleo ya mpango huo ,je kuna hatua zozote gani serikali imepiga katika ujenzi wa uwanja huo na umefikia wapi?View attachment 2126959

#UziTayari
Tumelaliwa sana ndugu zangu, razima niwaambie ukweriiii
 
Serikali ya Morroco imetupiga changalamacho nini ?
D1rv4uFWoAAmuZl(2).jpg
 
Back
Top Bottom