Uwanja mkubwa wa mpira Chato wa nini?

Kwa hiyo timu ya Chato ikipanda daraja ikacheze wapi?
 
Na bado.

Mbunge wa Chato kajengewa chuo cha VETA, kadai chuo kikuu.

Umesikia?
 
Tatizo ni pale unapojenga liuwanja kubwa la kujenga mji wenye mamilioni ya watu sehemu kama Chato.

Ona matatizo yote haya hapa chini.

Poor allocation of meagre resources.

Poor return on investment.

High opportunity cost.

Unfair distribution.

Political malfeasance.

Demoralizing to national unity.

Nepotism.

Politically based investment.

Exclusivity.

Lack of utilitarianism.
 
Rais yuko sawa kujenga, kubomoa anapotaka na anavyoka kwani Watanzania wengi ni wajinga na upeo wenye upeo mdogo.
Sisi tunachojua, raisi ni kama Mungu asifiwe tu.
Kuanza kujenga uwanja mkubwa chato ni kama unaanza kuweka dining table wakati haujaanza hata kujenga nyumba
 
Simple logic but very logical to the man who sees. Kwa sababu ya Burigi watalii wakitua Chato Airport waanze kuona white elephant ambao hawapatikani popote pengine nchini. Kivutio cha watalii kipya!
 
You got some brains
 
Kauwanja ka mpira wanapiga Sanaa beat kupiga picha kanalindwa sanaaa
 
Kwamba wao hawana hamu ya kuwa na maendeleo ama? Hiyo ni logic simple tu imetumika apo. We unachotaka kufanya ni kukusanya uchumi sehem moja, which isn't okay at all. Lazma mechi zichezeke na huko Chato isogeze biashara zao pia.
Yaani ni toke dar mtwara niende chato kuangalia mbao vs jkt ruvu
Binafsi siwezi ila kama mtoa mada alivyosema naunga hoja pamejengwe hata chuo,hsptl, hiyo sehemu ya kujengwa uwanja paachwe wazi kwaajili wasukuma waendelee kuchunga ng'ombe
 
Mbna ata england uwanja zipo sehem tafaut tafaut: na wachezaji wanasafiri kabisa kwenda kucheza mechi zao: tunaelewa chuki watu walizonazo kwahio nyie endeleeni na izo chuki
 
Katika suala la michezo siwezi kuongea kisiasa.

Hili la ujenzi wa uwanja nimelibariki kwa baraka zote maana kila mtu atakuwa na haki ya kutumia uwanja ule na mechi za kimataifa zitaenda pale.

Uwanja wa michezo kwangu mimi naona ni zaidi ya Ndege.
Mkuu uko serious kweli?
 
Hilo liuwanja liko wapi mkuu

Mbna ata england uwanja zipo sehem tafaut tafaut: na wachezaji wanasafiri kabisa kwenda kucheza mechi zao: tunaelewa chuki watu walizonazo kwahio nyie endeleeni na izo chuki
Unafananishaje mbingu na ardhi wajenge vitu vitakavyo msaidia mwananchi wa hapo moja kwa moja eg hsptl,shule hilo liuwanja WASUKUMA wakachungie ng'ombe au mmeacha kufuga
 
Unafananishaje mbingu na ardhi wajenge vitu vitakavyo msaidia mwananchi wa hapo moja kwa moja eg hsptl,shule hilo liuwanja WASUKUMA wakachungie ng'ombe au mmeacha kufuga

kwa uwanja hautasaidia wananchi? uwanja sio tu kucheza, kuna wengine watakua na mashelf ya biashara kwenye huo huo uwanja: we unadhan uwanja unagusa tu wachezaji? usafiri pia, nini cha kudebate apa wakati vitu vinaonekana, we unataka uchumi wote uishie dar? kwamba chato sio watanzania ama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…