kyle rothschild
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 208
- 322
Tatizo bado ni lile lile, ushamba na ulimbukeni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bado.Hesabu za wanasiasa huwa ni za kujua wao wenyewe tu. Hivi kweli Chato kunahitajika uwanja mkubwa wa miguu kama wa Taifa (kwa Mkapa) wa kazi gani?
Kama huu mmoja Dar na uwingi wote wa watu tunashindwa kuujaza je Chato? Huu utakuwa ni upotevu mwingine wa fedha kama za ESCROW.
Sifa zikizidi haya ndo madhara yake. Nilitegemea uwanja kama huu ujengwe kwenye majiji makubwa ya Mwanza, Mbeya, Arusha au Morogoro. Kiukweli kwa hili hata kama ndio charity begins at home, this is too much.
Mimi niko pamoja na mzee Meko na nakubali mambo mengi anayoyafanya ila kwa hili HAPANA. Hapa ndipo Kagame anapotupiga bao. Hesabu zake ni very strategic. Hakurupukagi. Mwezi uliopita tumeona Rwanda wakiufungua uwanja bora na wa kisasa kabisa maarufu kama Kigali Arena.
Sisi bado maamuzi yetu ni ya sifa sifa na mihemko. Kagame anaijenga Kigali inaonekana. Sisi hatueleweke mara, tujenge Arusha tunaacha tunahamia kuijenga Dodoma. Wakati huo huo Dar nayo inatakiwa ijengwe sasa tunahamia Chato.
Sisemi mikoa mingine isijengwe lakini kuna miradi ya kimkakati ambayo inahitaji kufikiri na kutafakari kwa kina. Yawezekana kwa sasa kipaumbele cha watu wa Chato ni hospitali ya kisasa au vyuo vya ufundi na si uwanja mkubwa kiasi hicho. Hakunaga mipango ya namna hiyo!!
Nadhani Chato wanahitaji uwanja mdogo tu kama wa Azam Complex unawatosha.
Wahusika tafakarini. Kwa mipango yetu mibovu ndio maana hadi leo hii hatuna ukumbi wowote wa maana kwa ajili ya kuhost mikutano mikubwa, hatuna kumbi kubwa za kisasa za burudani. Na hakuna anayeona hilo.
Cheap political popularity inatugharimu sana tena sana.
View attachment 1244923
Tatizo ni pale unapojenga liuwanja kubwa la kujenga mji wenye mamilioni ya watu sehemu kama Chato.Mkuu, sisi hatushindani na Rwanda wala inchi yoyote.
Kama chato ipo ndani ya eneo ya United Republic of Tz kwani kuna tatizo gani mkuu??
Mbona SGR inajengwa From Dar to morogoro watu wa mtwara na Tanga hawajalalamika??
Binafsi sioni tatizo, maana kiwanja cha chato sio ndio kitakuwa cha mwisho kujèngwa... Mwanźa, Arusha, Mbeya, Kigoma vitajengwa tu mkuu, tujipe muda boss
Rais yuko sawa kujenga, kubomoa anapotaka na anavyoka kwani Watanzania wengi ni wajinga na upeo wenye upeo mdogo.Shida wengi mnakimbilia kucoment bila kusoma. Sijasema Chato pasijengwe kiwanja,lakini kijengwe kiwanja chenye kuendana na idadi ya watu. Hilo li uwanja likubwa watu gani wataingia? Si bora vijengwe viwanja vidogo vidogo vingi katika mikoa tofauti yenye uhaba mkubwa wa viwanja? Simple logic.
Simple logic but very logical to the man who sees. Kwa sababu ya Burigi watalii wakitua Chato Airport waanze kuona white elephant ambao hawapatikani popote pengine nchini. Kivutio cha watalii kipya!Shida wengi mnakimbilia kucoment bila kusoma. Sijasema Chato pasijengwe kiwanja,lakini kijengwe kiwanja chenye kuendana na idadi ya watu. Hilo li uwanja likubwa watu gani wataingia? Si bora vijengwe viwanja vidogo vidogo vingi katika mikoa tofauti yenye uhaba mkubwa wa viwanja? Simple logic.
Rais yuko sawa kujenga, kubomoa anapotaka na anavyoka kwani Watanzania wengi ni wajinga na upeo wenye upeo mdogo.
Sisi tunachojua, raisi ni kama Mungu asifiwe tu.
Kuanza kujenga uwanja mkubwa chato ni kama unaanza kuweka dining table wakati haujaanza hata kujenga nyumba
Wewe acha ujinga economically kujenga uwanja mkubwa chato ni hakuna faida ni hasara tupu. Kama wewe ulivyo mtupu. Jamaa kaandika fresh uzi huu.
Yaani ni toke dar mtwara niende chato kuangalia mbao vs jkt ruvuKwamba wao hawana hamu ya kuwa na maendeleo ama? Hiyo ni logic simple tu imetumika apo. We unachotaka kufanya ni kukusanya uchumi sehem moja, which isn't okay at all. Lazma mechi zichezeke na huko Chato isogeze biashara zao pia.
Wana chato Msituletee mchezo wenu wa dar wa kuibiana penseli.Utukome watu wa Chato (kwa sauti ya Ali Kiba)
Yaani ni toke dar mtwara niende chato kuangalia mbao vs jkt ruvu
Binafsi siwezi ila kama mtoa mada alivyosema naunga hoja pamejengwe hata chuo,hsptl, hiyo sehemu ya kujengwa uwanja paachwe wazi kwaajili wasukuma waendelee kuchunga ng'ombe
hahahaah, halafu mwizi anakusaidia kuitafuta, tehe teheWana chato Msituletee mchezo wenu wa dar wa kuibiana penseli.
Ni kweli kabisa
Najaribu kujiuliza hawa Wanao Support inakuaje Mana Hata Sioni Strong reality reason ya Uwanja Chato
Hahah dar kuna mambo mengi ya ajabu mkuu.hahahaah, halafu mwizi anakusaidia kuitafuta, tehe tehe
Mkuu uko serious kweli?Katika suala la michezo siwezi kuongea kisiasa.
Hili la ujenzi wa uwanja nimelibariki kwa baraka zote maana kila mtu atakuwa na haki ya kutumia uwanja ule na mechi za kimataifa zitaenda pale.
Uwanja wa michezo kwangu mimi naona ni zaidi ya Ndege.
Shida wengi mnakimbilia kucoment bila kusoma. Sijasema Chato pasijengwe kiwanja,lakini kijengwe kiwanja chenye kuendana na idadi ya watu. Hilo li uwanja likubwa watu gani wataingia? Si bora vijengwe viwanja vidogo vidogo vingi katika mikoa tofauti yenye uhaba mkubwa wa viwanja? Simple logic.
Unafananishaje mbingu na ardhi wajenge vitu vitakavyo msaidia mwananchi wa hapo moja kwa moja eg hsptl,shule hilo liuwanja WASUKUMA wakachungie ng'ombe au mmeacha kufugaMbna ata england uwanja zipo sehem tafaut tafaut: na wachezaji wanasafiri kabisa kwenda kucheza mechi zao: tunaelewa chuki watu walizonazo kwahio nyie endeleeni na izo chuki
Unafananishaje mbingu na ardhi wajenge vitu vitakavyo msaidia mwananchi wa hapo moja kwa moja eg hsptl,shule hilo liuwanja WASUKUMA wakachungie ng'ombe au mmeacha kufuga