Uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA hauna hadhi ya kutumika ligi kuu

Uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA hauna hadhi ya kutumika ligi kuu

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Ukweli useme
Bodi ya ligi wameshindwa usimamizi wa ubora wa viwanja

Kwanini bodi ya ligi iliufungilia huu uwanja mbovu hivi?

Ligi namba 6 Africa haiwezi kuchezwa kwenye majaruba, kuruhusu uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA kutumika ni kushusha hadhi ya ligi yetu.

Uwanja pitch mbovu kama shamba la mpunga
Michoro ya uwanja haionekani, walipakaa chokaa mvua ilinyesha ikafutika hapa ni ngumu kujua mpira umetoka, maeneo ya penalt, Kona n.k
Uwanja hauna uzio ni rahisi washangiliaji kushambulia wachezaji na waamzi
Net za magoli ni zile za chandarua za USAID

Jana nimetazama mchezo wa Kagera sugar dhidi ya Tabora United, Tabora United ukiondoshwa kwenye mashindano ya CRDB bank federation cup

Uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA ni kama majaruba ya mpunga, maji yametuama, mpira hautembei

Ni Jumatatu tu tarehe 1 Yanga atakuwa akicheza na Tabora United hapo Ali Hasan Mwinyi

Yanga ni timu Bora Tanzania na ndiyo timu inafatiliwa zaidi Tanzania. Itakuwa ni aibu Kwa mechi ya Yanga kucheza
markup_1000123271.png
markup_1000123270.png
kwenye uwanja mbovu vile

Nawashauri Bodi ya ligi na TFF waufungie tena huu uwanja ili ukarabatiwe vizuri
Japo najua hawawezi kufungia Kwa kudhani Yanga atachezea pale kumbe ni Kwa ujinga wao wanashusha hadhi ya ligi
 
Hakuna uwanja pale
Zaidi ni muendelezo wa mipango yanga asiwe bingwa msimu
 
Ukweli useme
Bodi ya ligi wameshindwa usimamizi wa ubora wa viwanja

Kwanini bodi ya ligi iliufungilia huu uwanja mbovu hivi?

Ligi namba 6 Africa haiwezi kuchezwa kwenye majaruba, kuruhusu uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA kutumika ni kushusha hadhi ya ligi yetu.

Jana nimetazama mchezo wa Kagera sugar dhidi ya Tabora United, Tabora United ukiondoshwa kwenye mashindano ya CRDB bank federation cup

Uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA ni kama majaruba ya mpunga, maji yametuama, mpira hautembei

Ni Jumatatu tu tarehe 1 Yanga atakuwa akicheza na Tabora United hapo Ali Hasan Mwinyi

Yanga ni timu Bora Tanzania na ndiyo timu inafatiliwa zaidi Tanzania. Itakuwa ni aibu Kwa mechi ya Yanga kuchezaView attachment 3286507View attachment 3286506 kwenye uwanja mbovu vile

Nawashauri Bodi ya ligi na TFF waufungie tena huu uwanja ili ukarabatiwe vizuri
Japo najua hawawezi kufungia Kwa kudhani Yanga atachezea pale kumbe ni Kwa ujinga wao wanashusha hadhi ya ligi​
Mkuu ngara23 Salam kwako. Uwanja bado sio Mbaya kivile na kama ni suala LA uwanja kujaa maji kutokana na mvua inayonyesha, mbona Hilo ni la kawaida kwa viwanja vingi katika msimu wa mvua? Nakubaliana wewe kuhusu wazo LA kuendelea kuufanyia maboresho na sio kuufungia tena.
Ahsante​
 
Ule uwanja ukiachana na pitch ambayo utasingizia mvua
Uwanja una nyasi ndefu sana
Michoro ya vipimo vya uwanja haionekani, waliokata chokaa mvua ilinyesha ikafutika
Ikitokea penalty refa atakadiria tu

Uwanja hauna uzio mashabiki ni rahisi kushambulia wachezaji na waamzi

Hata net za magori zimechakaa
 
Nimekuelewa Mkuu ngara23 . Nadhani muda umefika kwa CCM kuingia ubia ( nchelea kuiita PPP) na wenye pesa ili kuendeleza viwanja vyao.
Ahsante
 
Yanga tutacheza tu hivyo hivyo na hilo tawi la simba, ili vijana wa Mangungu wakose cha kusema.
 
Back
Top Bottom