Uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA hauna hadhi ya kutumika ligi kuu

Uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA hauna hadhi ya kutumika ligi kuu

Natamani mabaunsa wa Kinyamwezi waizuie uto isifanye mazoezi hapo ili kwenye mechi wakutane na kitu kizito.

Sisi Wanachama wa Simba Tawi la Mburahati tupo tayari kulipia faini yoyote watakayopewa Tabora kulingana na KANUNI inavyosema.
 
Napendekeza serikali iwekeze viwanja vyote vya CCM kwa wa Waarabu kama walivyofanya kwenye bandari na hifadhi za wanyama. Angalau viwanja vitakuwa vizuri kwa ajili ya maendeleo ya soccer Tanganyika.
Hii hoja nakubaliana nayo 100%. Walau tukiwapa viwanja vya mpira tutakuwa na amani zaidi kuliko hayo maeneo mengine wanapowagawia kama njugu.

Ila kwanza hivyo viwanja virudishwe katika himaya ya umma, ama katika ngazi ya Halmashauri au Wizarani.
 
Natamani mabaunsa wa Kinyamwezi waizuie uto isifanye mazoezi hapo ili kwenye mechi wakutane na kitu kizito.

Sisi Wanachama wa Simba Tawi la Mburahati tupo tayari kulipia faini yoyote watakayopewa Tabora kulingana na KANUNI inavyosema.
Yanga hadondoshi point hata 1 mechi zote zilizobaki
Huyo Tabora United ambaye ni shoga yake 5imba tutampiga kipigo chake na cha 5imba aliyekimbia tarehe 8
 
Back
Top Bottom