Uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA hauna hadhi ya kutumika ligi kuu

Nimekuelewa Mkuu ngara23 . Nadhani muda umefika kwa CCM kuingia ubia ( nchelea kuiita PPP) na wenye pesa ili kuendeleza viwanja vyao.
Ahsante
Hao CCM hawastahili kuingia ubia na yeyote yule kwa sababu hivyo viwanja siyo mali yao. Hao ccm ni waporaji tu. Wangekuwa na uwezo wa kujenga viwanja vya mpira wa miguu, wasingeshindwa kuvitunza!

Hivyo viwanja vilitakiwa kuwa chini ya Halmashauri za Wilaya/Miji husika! Maana vilijengwa na serikali wakati wa mfumo wa chama kimoja, na kwa kutumia kodi zetu! Hivyo viwanja havikujengwa na CCM!
 
sasa ccm si inatumia mtaji wa watu wasio na akili, elimu na ufahamu. Na maskini wa aina mbalimbali.
 
Ndo maana kumbe
Magori?????? Nimeelewa tatizo ni nini
Unafatilia nyuzi zangu
Unasubiri niandike nyuzi zangu zilizojaa utafiti uje u comment
Sijawahi kukufatilia kama unavofatilia
Una ID zaidi ya 10 kutwa kutukana tu
Itakusaidia nini kijana hizo chuki Kwa mtu nimekuzidi utajiri, pesa na maarifa
 
Pole sana dogo.mimi nipo jukwaa la michezo kila anayepost thread nachangia na kumwelimisha. Unaweweseka na nini? Na nani amekutukana? Hebu nitajie Id yangu nyingine ili admins wathibitishe. Dogo tuliza kipago. Usipaniki ukiweka uzi humu watu watachangia si lazima mfanane maono. Umenizidi utajiri huku ni chawa wa mtu? Yaani pesa zake nazo ni zako? Tafuta uzi wangu humu uone kama nina uchawa umenizidi utajiri wa uchawa labda. Mimi najitegemea nipo fresh MAPIGO NA MWENDO 😁 natema kushoto nafukia kulia. Na huwezi kuta najisifu sababu actions speak louder than words.
 
Tunaposema bodi ya ligi ni corrupted na inaendeshwa kwa remote na viongozi wa Simba miongoni mwa ushahidi ndiyo huo, huo uwanja umefunguliwa kimkakati, wanajua wiki ijayo Yanga anaenda kucheza hapoπŸ˜€πŸ‘
 
Chuki zako kwangu ni kubwa mno
Hunijui sikujui ila una chuki sio kawaida
Log in na πŸ†” zako zingine utukane matusi yako kama jana
 
Chuki zako kwangu ni kubwa mno
Hunijui sikujui ila una chuki sio kawaida
Log in na πŸ†” zako zingine utukane matusi yako kama jana
Dogo unatembea always looking over your shoulders. Mi hata sikujui. Ukikosolewa unalia lia kuwa unachukiwa. Wewe ukipendwa na anayekupenda si inatosha?😁 Usitake sana wanaume wote tukupende. Mtu anakosoa uzi si sababu anakuchukia. JF ni Jukwaa huru.

Akisoma kiongozi wa team yetu akapenda uzi wako na akaja mwingine akapenda utasema ana IDs nyingi anakupenda? Mtoto wa kiume usiwe mlalamishi na wa kupenda kupendwa inaleta ukakasi sana dogo. Wote hatujuani.

Niambie nina ID gani nyingine ambayo mimi siijui.
 
Acha shobo Sasa Kwa wanaume
Sio unashoboka tu
Humu jf Kuna nyuzi zaidi ya million
Soma hizo kama nyuzi zangu hazikupendezi kwanini kiherehere kikupande
Tulia sitaki shobo zako
Me mwanaume wa Kanda ya ziwa
 
Napendekeza serikali iwekeze viwanja vyote vya CCM kwa wa Waarabu kama walivyofanya kwenye bandari na hifadhi za wanyama. Angalau viwanja vitakuwa vizuri kwa ajili ya maendeleo ya soccer Tanganyika.
 
Wewe itakua ndo mbunge wa Tabora, au waziri unaedeal na hayo mambo[emoji28], cas umejibu kiitifaki sana kama unatolea maelezo ya hoja za serikali[emoji38]
 
Nimekwambia kiherehere sio kizuri Kwa mwanaume
Acha kiherehere
We comment acha kuleta taarab hapa
Me sitaki mazoea
 
Nimekwambia kiherehere sio kizuri Kwa mwanaume
Acha kiherehere
We comment acha kuleta taarab hapa
Me sitaki mazoea
Unalalamika sikupendi... Akikupenda hersi au arafat inatosha dogo sisi wengine tunabaki watazamaji tu 😁
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…