Unalalamika sikupendi... Akikupenda hersi au arafat inatosha dogo sisi wengine tunabaki watazamaji tu π
Acha kiherehere mrembo nimeoaUnalalamika sikupendi... Akikupenda hersi au arafat inatosha dogo sisi wengine tunabaki watazamaji tu π
Unalalamika sikupendi... Akikupenda hersi au arafat inatosha dogo sisi wengine tunabaki watazamaji tu πAcha kiherehere mrembo nimeoa
Hii hoja nakubaliana nayo 100%. Walau tukiwapa viwanja vya mpira tutakuwa na amani zaidi kuliko hayo maeneo mengine wanapowagawia kama njugu.Napendekeza serikali iwekeze viwanja vyote vya CCM kwa wa Waarabu kama walivyofanya kwenye bandari na hifadhi za wanyama. Angalau viwanja vitakuwa vizuri kwa ajili ya maendeleo ya soccer Tanganyika.
Yanga hadondoshi point hata 1 mechi zote zilizobakiNatamani mabaunsa wa Kinyamwezi waizuie uto isifanye mazoezi hapo ili kwenye mechi wakutane na kitu kizito.
Sisi Wanachama wa Simba Tawi la Mburahati tupo tayari kulipia faini yoyote watakayopewa Tabora kulingana na KANUNI inavyosema.