Uwanja wa Benjamin Mkapa | Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC Vs Plateau United

Haya basi tulianza sisi kuwashangilia TP Mazembe uwanjani, ninyi endeleeni kuwapokea airport, ila msiwe mnawaibia simu zao
Wanaosema Simba ilianza kushangilia Mazembe ni wale waliozaliwa juzijuzi mechi ya fainali caf yanga ndio walianza kushangilia Stella ya Ivory coast
 
Wanaosema Simba ilianza kushangilia Mazembe ni wale waliozaliwa juzijuzi mechi ya fainali caf yanga ndio walianza kushangilia Stella ya Ivory coast
Stella ilishangiliwa Afrika nzima. Hakuna anayeweza kuwasahau akina Bolizozo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…