permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Tuwaombee waingie makundi ili tuone mtu anavyopigwa mtawalia.Bahati haikua kwetuu..... ila kwa mugabe linakufa jitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwaombee waingie makundi ili tuone mtu anavyopigwa mtawalia.Bahati haikua kwetuu..... ila kwa mugabe linakufa jitu
Haya basi tulianza sisi kuwashangilia TP Mazembe uwanjani, ninyi endeleeni kuwapokea airport, ila msiwe mnawaibia simu zaoNdio na wewe uache ujinga
Wanaosema Simba ilianza kushangilia Mazembe ni wale waliozaliwa juzijuzi mechi ya fainali caf yanga ndio walianza kushangilia Stella ya Ivory coastHaya basi tulianza sisi kuwashangilia TP Mazembe uwanjani, ninyi endeleeni kuwapokea airport, ila msiwe mnawaibia simu zao
Stella ilishangiliwa Afrika nzima. Hakuna anayeweza kuwasahau akina Bolizozo.Wanaosema Simba ilianza kushangilia Mazembe ni wale waliozaliwa juzijuzi mechi ya fainali caf yanga ndio walianza kushangilia Stella ya Ivory coast