utopolo fc, mko "legelege" "regerege" sanaMpira wa Simba hauridhishi, tukikutana na timu yenye match fitness nzuri tutasumbuliwa sana.
Hukuona kazi ya bocco?Kagere ni wa kuingia dakika 2 serious
Si mnaenda kutolewa huko kwa ZIMBABWEKumbe moyoni unajua Simba inaenda mbele!
Simba imecheza kama timu iliyokamaa...tulikua hatuna ulazma wakufunguka....na kama tukiendelea kucheza hivi kwa kujiamini tutafika mbali msimu huu
Kazi ipi aliyoifanya zaidi ya kutembelea uwanjaniHukuona kazi ya bocco?
Tumezoea hizo taarabu za utopoloAwa jamaa awajacheza mashindano yoyote tangu mwezi wa 3 inamaana metch fitness wamepata wakati wanacheza na Simba ii inaonyesha jinsi wenzetu walivyo piga hatua. Ukumbuke Simba ndio wako kwenye ubora wao kabisa.
Wengine uwanjani mnaangalia magoli tuuKazi ipi aliyoifanya zaidi ya kutembelea uwanjani
Basi wakati mnawasindikiza Plateau airport, mbaki hapo hapo kuwasubiri Platnum 😁Si mnaenda kutolewa huko kwa ZIMBABWE
Lakini asingecheza tusingejua kama anapoteza mipiraMzamiru anampaga nini,amepoteza sana mipira
Mashabiki wa simba bana.. kwahiyo mzamiru na mkude nani amepambani hii mechi?Mzamiru anampaga nini,amepoteza sana mipira
Sentence yako ya mwisho haiko sahihi , simba tumeshuka kiwango Sana.Awa jamaa awajacheza mashindano yoyote tangu mwezi wa 3 inamaana metch fitness wamepata wakati wanacheza na Simba ii inaonyesha jinsi wenzetu walivyo piga hatua. Ukumbuke Simba ndio wako kwenye ubora wao kabisa.
Kwani sisi yanga tunacheza na nani?Awa jamaa awajacheza mashindano yoyote tangu mwezi wa 3 inamaana metch fitness wamepata wakati wanacheza na Simba ii inaonyesha jinsi wenzetu walivyo piga hatua. Ukumbuke Simba ndio wako kwenye ubora wao kabisa.
unabadili mabwana tu. mpaka tufike robo itakuwa tambara kwa kuchakazwaBahati haikua kwetuu..... ila kwa mugabe linakufa jitu