Uwanja wa Benjamin Mkapa | Simba Super Cup, Simba SC Vs Al Hilal Club

Uwanja wa Benjamin Mkapa | Simba Super Cup, Simba SC Vs Al Hilal Club

ulaya umeingiaje hapa,jibu swali mko nafasi ya ngapi CAF. mara ya mwisho kuchukua kombe VPL na FA ilikuwa lini?
hata uchukue vpl na fa jana ila leo ukutane na yanga anakufilimba tu

kwani we mara ya mwisho kuchukua mapinduzi cup ni lini
 
Ila mashabiki wa Yanga sijui mna matatizo gani [emoji1][emoji1]
Vumilia tu mkuu maana umekua
Yaani mkuu hawa jamaa washamba sana sijawahi ona. Duh!!

Nizar Halfani aliisifia Simba juzi juzi, wakaanza ooh, ana mapenzi na Simba.
Mpaka nashindwa kuwatathmini. Pengine hawajui maana ya ulinganisho/uchambuzi?
 
Benard Morrison amesanuka Kama alivyosanuka Raly Bwalya.

Sasa yuko fit mbaya mbovu
amesanuka kwenye mashindano gani leo umeona kuna upinzani wa kimchezo ama ndo vile kujifariji
 
Leo January 27, 2021 Ni upunguzi rasmi wa michuano ya Simba Super Cup, ambapo Simba SC wanapambana na Al Hilal ya kutoka nchini Sudan kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.

Michuano hii ya Mabingwa katika nchi zao unatarajiwa kuwa mikali na ya kusisimua ikishirikisha Simba SC, TP Mazembe kutoka Congo na Al Hilal kutoka nchini Sudan.

Usikose Ukasimuliwa, mchezo ni kuanzia saa 11:00 jioni.

Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana


•••Kikosi cha Simba SC

Beno Kakolanya
David Kameta
Mohamed Hussein
Kennedy Juma
Joash Onyango
Taddeo Lwanga
Rally Bwalya
Claotus Chama
Maddie Kagere
Perfect Chikwende
Francisc Kahata
Simba imefluku tu, kama ingekuwa Yanga leo El Hilal wangelala kwa zaidi ya goli 6
 
Na wewe tafuta za mbeleko au umesahau penati nje ya box au magoli ya mkono aliyokuwa akifunga Tambwe
naikumbuka ile penati mkuu si ile ya yondani na kagere ama

maradona anakumbukwa kwa goli la mkono na tambwe pia usimsahau henry kuivusha ufaransa alipiga la mkono
 
Timu za Africa zenye hadhi ya kimataifa kwenye soka na uendeshaji wa kimataifa. Zimekuja kwenye mashindano kwa heshma kubwa ya mkubwa mwenzao Simba Sports Club.
futa mashindano weka kujiandaa hahaha aliye kwenye mashindano ni nyau peke yake wengine wana jiweka fiti kwa mazoezi
 
Back
Top Bottom