lazima ukaeKubishana na upotolo ninmatumizi mabaya ya muda
We jamaa una ghubu kama dada yako!!!hahaha mbumbumbu huwa mnadanganywa kidogo sana jamaa wamefika jana na uchovu badala mfikirie kupanga timu mnakimbilia kufunga wakat mchezo wa bonanza
Za chinichini zinasema ya kwamba,,,,,,huwez teswa na goli 3 za penati, kama una akili timamu
kweli ww mbumbumbu asilia kwani mapinduzi bingwa wa kihistoria nahesabu nimekupiga 4 hapana nahesabu nimeshinda kombe tuZa mapinduzi zilitokana na nini kweli Eymael hakukosea
hahaha jamaa wamechoka ila mmekania ili muonekane mnajua kumbe paka pori tuWe jamaa una ghubu kama dada yako!!!
Kama unaona haina maana si kajifungie kwenu jifunike ulale!? Ya nini kufuatilia unavyoona havina maana? "Yaani kisebusebu na kiroho papo "
izo itakuwa toka kwa manara ili awadanganye mko vzr wenye akili wanatumia bonanza kujiweka fiti umbumbumbu wenu mnafanya ni mashindanoZa chinichini zinasema ya kwamba,,,,,,
Yanga waliomba mechi ya kirafiki na Alhly baada ya haya mashindano.waarabu wakawajibu Yanga ya kwamba"kiwango chenu bado kipochini"[emoji23]
😂😂😂Yaani mkuu hawa jamaa washamba sana sijawahi ona. Duh!!
Nizar Halfani aliisifia Simba juzi juzi, wakaanza ooh, ana mapenzi na Simba.
Mpaka nashindwa kuwatathmini. Pengine hawajui maana ya ulinganisho/uchambuzi?
Vijana naona wamechukua siti yako legendAL HILAL JESHI KUBWA, KILA LA HERI
timu zote hapo ni kati ya timu 16 bora CAF,wewe nyamaza kalalehata uchukue vpl na fa jana ila leo ukutane na yanga anakufilimba tu
kwani we mara ya mwisho kuchukua mapinduzi cup ni lini
hata zingekuwa 3 bora huu kwao sio msimu wa mashindano ni mechi za kujipima huku wakijilinda wasiumie (uzuri umeona uchezaji wao) ila timu yako inaona haya ndo mashindano inayapakia hadi mkongo wakijua mbele hawatoboitimu zote hapo ni kati ya timu 16 bora CAF,wewe nyamaza kalale
na ruvu ahamishiwe wapmi ka shabiki wa uto de utelembwe nyani kindaki ndaki toka moyoni nashauri simba ihamishiwe EPL/LALIGA maana kwa kikosi chao VPL wanapoteza muda bure.
hahahaha ilikua mechi ya kuwapima mlio wasajili ila morisoni kaingia na mbwembwe hadi mmesahau kuangalia walioletwa wanafaa kupunguza zile 5 ama laahMechi ya Simba Vs Almareikh imeisha.
Sasa kuna mechi ya kupalamiana kwa maneno Simba Vs Yanga ndondi Club[emoji23][emoji23]
Sasa unaumia nini? Kimeingia kwa mwingine, unahangaika wewe huku. Looh!!hahaha jamaa wamechoka ila mmekania ili muonekane mnajua kumbe paka pori tu
Walio letwa mmoja wapo si kacheza,Chikwendeee.hahahaha ilikua mechi ya kuwapima mlio wasajili ila morisoni kaingia na mbwembwe hadi mmesahau kuangalia walioletwa wanafaa kupunguza zile 5 ama laah
Kwa fikra hizi, kweli Eimey hakukosea...Watu wanashangilia kushinda friendly match, shame
hahahaha ilikua mechi ya kuwapima mlio wasajili ila morisoni kaingia na mbwembwe hadi mmesahau kuangalia walioletwa wanafaa kupunguza zile 5 ama laahMechi ya Simba Vs Almareikh imeisha.
Sasa kuna mechi ya kupalamiana kwa maneno Simba Vs Yanga ndondi Club
Walio letwa mmoja wapo si kacheza,Chikwendeee.y
ukubwa upi unao zungumzia kua na washabiki wengi maandazi amaSasa unaumia nini? Kimeingia kwa mwingine, unahangaika wewe huku. Looh!!
Wewe nenda kajipime na Ngwabina au Ihefu ndiyo size yako.
Vyovyote utakavyoita, Ya wakubwa hayakuhusu.