Uwanja wa Benjamin Mkapa | Simba Super Cup: Simba SC Vs TP Mazembe

Uwanja wa Benjamin Mkapa | Simba Super Cup: Simba SC Vs TP Mazembe

Free Kick kuelekea Simba inapigwaaaa Beno anadaka bado milango ni migumu
 
Dakika ya ngapi ndugu Commentator?
 
86' Taddeo ametoka na ameingia Mzamir upande wa Simba SC

Simba SC 0-0 TP Mazembe
 
Daah TP Mazembe wamekoswa koswa sana leo...
 
90+2'

Kuelekea kumalizika kwa mchezo huu wa SSC

Kona inapigwaaaa kuelekea TP Mazembe, Chikwende kwake Hussein

Wanaokoa tp, unarudi tena mpira lango la Mazembe

Naaaam mpira umekwishaaaa ambapo Simba SC na TP Mazembe wamekosa kufungana

FT: Simba SC 0-0 TP Mazembe

Kwa matokeo hayo Simba SC ni Bingwa wa kombe la Simba Super Cup kufuatia ushindi katika mchezo wa kwanza wa mabao nne kwa moja dhidi ya Al Hilal

..... Ghazwat
 
Back
Top Bottom