Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni watu wawili na nusuTaddeo Lwanga huyu jamaa ni mtu.
Halafu nyie utoporo mtabaki kushangilia bwana zenu tutakao kuwa tunawaleteanyie mikia mkienda misri kwa al ahly ni mwendo ule ule wa tano
84' Bila bilaDakika ya ngapi ndugu Commentator?
ko nyau kachukua ubingwa kwa pointi 4 hahahahaha barbra kaleta vituko nchi hiiDaa FT Simba 0 - 0 TPM
ko nyau kachukua ubingwa kwa pointi 4 hahahahaha barbra kaleta vituko nchi hii
nilitaka muache kuwa mbumbumbu tangu lini timu yenye point 0 ikacheza fainal na timu yenye point 3 ikawa imetupwa nje ya mashindanoUlitakaje ndugu?
Wawa ajirekebishe haya makosa yanajirudiaWawa kazingua
Ahsante kwa update mkuu84' Bila bila