Uwanja wa Benjamin Mkapa | Vodacom Premier League VPL' Yanga SC Vs Namungo FC

Afsa Dakika ya ngapi huko?
61' Bao moja kwa kila timu, huku kila timu ikijaribu kupenya, kufikia lango la timu pinzani ambapo kwa dakika hizi Yanga wanamiliki mpira

Yanga SC 1-1 Namungo FC
 
Inapigwaaaa Kona, golikipa Nihimana anacheza na kutoka upande wa pili na sasa mpira ni wa kurushwa
 
69' Haruna Shamte ameingia kuchukua nafasi ya mtu upande wa Namungo FC

Yanga SC 1-1 Namungo FC
 
71' Tuisila amekwenda kwenye benchi na ameingia Nchimbi upande wa Yanga
 
Namungo wanakwendaaa ooooh wanapoteza, namna gani hapa wanakosa nafasi ya wazi
 
Free Kick kuelekea Yanga SC, nafasi bomba kwa Namungo

Haya, inapigwaaaa, wanakosa...!
 
82' Stephen ametoka na ameingia Kichuya upande wa Namungo FC
 
Kona kuelekea Namungo FC, haya inapigwaaaa Konaaaaa, faulo mchezaji wa Namungo yupo chini baada ya kupata rabsha
 
44' Penatiiiiiiiiiii kuelekea Yanga baada ya Kichuya kuangushwa eneo la hatar
 
90+2'

Bigirimana anakosaaa Penatiiiiiiiiiii
 
90+2' Naaam mpira umekwishaaaa ambapo Yanga SC wamekwenda sare kwa bao moja kwa moja dhidi ya Namungo FC

FT, VPL Yanga SC 1-1 Namungo FC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…