Uwanja wa Benjamin Mkapa | Vodacom Premier League VPL' Yanga SC Vs Namungo FC

Uwanja wa Benjamin Mkapa | Vodacom Premier League VPL' Yanga SC Vs Namungo FC

Saa hizi ni saa 2:57 na mpira umeisha 1-1, ngoja tusubiri ifike hiyo saa tatu na nusu
Moyo ulikuwa ukimwenda mbio huko aliko UTO ni Janga la Soka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuanzia saa tatu usiku huu Yanga itakuwa inaongoza ligi,na haishuki hapo mpaka ubingwa
Sasa hivi ni saa tatu kamili, matokeo ya kuongoza yakoje?

Labda muongoze ubingwa wa Mapinduzi Cup?
 
Afadhali ya timu yetu inacheza kihalali siyo Kama mikia mnanunua game na kutunga 7-0 ili kuwatuliza wanachama kufuatia sakata la FCC
Eti kihalali wewe kweli ni utopolo. Mechi dhidi ya gwambina ilipaswa mpigwe maana goli halali la gwambina lilikataliwa na leo mmebebwa sana sema uwezo wa utopolo ni mdogo
 
Back
Top Bottom