rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Saa hizi ni saa 2:57 na mpira umeisha 1-1, ngoja tusubiri ifike hiyo saa tatu na nusuKuanzia saa tatu usiku huu Yanga itakuwa inaongoza ligi,na haishuki hapo mpaka ubingwa
Wewe ulitakaje?! Ulibet? Au mikia mlihonga refaHuyu birigimana pumbavu penati gani ile ya kupiga
Mitano tena.Kuna wilaya zingine zimelaanika kwa kukata umeme. Tanzania hii
Kwa mpira ule nani alihonga au umehadithiwaWewe ulitakaje?! Ulibet? Au mikia mlihonga refa
utopolo hamna timuWewe ulitakaje?! Ulibet? Au mikia mlihonga refa
we pumbavu, ni timu gani haijapoteza mechi mpaka sasa ivi kama sio yanga? ....Sasa hivi ni saa tatu kamili, matokeo ya kuongoza yakoje?
Labda muongoze ubingwa wa Mapinduzi Cup?
Simba ndio timu mbovu kupindukiautopolo hamna timu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Saa hizi ni saa 2:57 na mpira umeisha 1-1, ngoja tusubiri ifike hiyo saa tatu na nusu
NishapigaUshindi kwa wananchi upo wazii kama ilivyo kwa plateau View attachment 1632311
Afadhali ya timu yetu inacheza kihalali siyo Kama mikia mnanunua game na kutunga 7-0 ili kuwatuliza wanachama kufuatia sakata la FCCutopolo hamna timu
Kwa hiyo umepata la kuzungumza kwa kuwa Jana ulinunua 7-0 ili kunyamazieha kelele la mashabiki na aibu ya uwekezajiKwa mpira ule nani alihonga au umehadithiwa
Eti kihalali wewe kweli ni utopolo. Mechi dhidi ya gwambina ilipaswa mpigwe maana goli halali la gwambina lilikataliwa na leo mmebebwa sana sema uwezo wa utopolo ni mdogoAfadhali ya timu yetu inacheza kihalali siyo Kama mikia mnanunua game na kutunga 7-0 ili kuwatuliza wanachama kufuatia sakata la FCC
Aaah utopolo kwa hiyo timu yenu ubingwa msahauSimba ndio timu mbovu kupindukia
Kwani utopolo haijawahi fungwa nyingi na simba?Kwa hiyo umepata la kuzungumza kwa kuwa Jana ulinunua 7-0 ili kunyamazieha kelele la mashabiki na aibu ya uwekezaji