Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Simba fanyeni tathmini, nimekuwa nikifatilia sana uwanja wa mazoezi Bunju, kila tunapocheza na Yanga ni sare au kufungwa, tangu tulipofungwa bao na Morrison hadi leo.
Fanyeni tathmini tumemfunga Yanga mara ngapi, katufunga mara ngapi, sare ngapi, wao wapo Avic Town wanakula maisha, uwanja wa Bunju una nyumba za jirani, majirani wengine ni Yanga.
Waganga wao wanakuja na kukaa nyumba za jirani hapo Bunju wengine wanajifanya kuvaa majezi ya Simba kumbe wanapeleleza adui, mkimaliza mazoezi wanaruka ukuta wanakuja kuchimbia vitu vyao uwanjani.
Mkiendelea kutumia uwanja wa Bunju kwenye maandalizi dhidi ya Yanga mtakuwa mnakula za uso kila siku.