Uwanja wa Bunju una nuksi Simba inapata wakati mgumu sana inapocheza na Yanga ikitokea Bunju

Uwanja wa Bunju una nuksi Simba inapata wakati mgumu sana inapocheza na Yanga ikitokea Bunju

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Simba fanyeni tathmini, nimekuwa nikifatilia sana uwanja wa mazoezi Bunju, kila tunapocheza na Yanga ni sare au kufungwa, tangu tulipofungwa bao na Morrison hadi leo.

Fanyeni tathmini tumemfunga Yanga mara ngapi, katufunga mara ngapi, sare ngapi, wao wapo Avic Town wanakula maisha, uwanja wa Bunju una nyumba za jirani, majirani wengine ni Yanga.

Waganga wao wanakuja na kukaa nyumba za jirani hapo Bunju wengine wanajifanya kuvaa majezi ya Simba kumbe wanapeleleza adui, mkimaliza mazoezi wanaruka ukuta wanakuja kuchimbia vitu vyao uwanjani.

Mkiendelea kutumia uwanja wa Bunju kwenye maandalizi dhidi ya Yanga mtakuwa mnakula za uso kila siku.
 
Simba fanyeni tathmini, nimekuwa nikifatilia sana uwanja wa mazoezi Bunju, kila tunapocheza na Yanga ni sare au kufungwa, tangu tulipofungwa bao na Morrison hadi Leo fanyeni tathmini tumemfunga Yanga mara ngapi, katufunga mara ngapi, sare ngapi, wao wapo Avic Town wanakula maisha, uwanja wa Bunju una nyumba za jirani, majirani wengine ni Yanga, waganga wao wanakuja na kukaa nyumba za jirani hapo Bunju wengine wanajifanya kuvaa majezi ya Simba kumbe wanapeleleza adui, mkimaliza mazoezi wanaruka ukuta wanakuja kuchimbia vitu vyao uwanjani, mkiendelea kutumia uwanja wa Bunju kwenye maandalizi dhidi ya Yanga mtakuwa mnakula za uso kila siku.
IMG_8628.jpeg
 
Mpka wakiri wao ni vigagula ndo uachane nao...
🤣 🤣 🤣 🤣 🐸 🐸 🐸
 
Mashabiki wenzangu wa Yanga hawa jamaa zetu tuwe nao makini sana. Jana namfata mtani dukani kwake nimtie maneno kumbe kaweka mawe kwenye droo ya kuhifadhia pesa.
 
Back
Top Bottom