maiyanga1
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 1,340
- 1,832
50% cost, 50% urefu wa kambaHapo 50% costs za project 50% unknown.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
50% cost, 50% urefu wa kambaHapo 50% costs za project 50% unknown.
Ndio ni kweli katujengea.Hili nalo ni janga ,utasema mama kalima mazao kauza amekuja kutugawia pesa
Watu tunalipa Kodi kwa shida ila serikali inatupa huduma kwa vijembe, utaskia mama kawajengea barabara, yaani ujinga mtupu Africa hii
Umbwaaa. Anatoa pesa yake ya mshahara? Umbwa kwa mara ingineNdio anaye toa pesa.. hujasikia haya mambo
Kwa akili kama zako unategemea tutafika wapi, unalipa Kodi kweli wewe?Ndio ni kweli katujengea.
Maana hata angeziiba pesa tungejua wapi?
Tuendelee kuabudu wanasiasa na sio wanamichezo walioling'arisha nchi yetu kimataita kina Bayi na Akwari!!Kuna na mkapa, nyrere, karume nk nk
Zaidi mbwa 🐕 🛷 ni kenge wa madoaUmbwaaa. Anatoa pesa yake ya mshahara? Umbwa kwa mara ingine
Sasa Kwa nini wanajenga kiwanja Kwa kutizingatia hadhi ya FIFA tena eneo la Kimkakati kama Arusha?Ili kukidhi viwango vya FIFA inabidi uwe na seat kuanzia 40,000.
Tanzania kwa sasa hatuna uwanja wa kuhost ufunguzi wa finally za kombe la Dunia. Walau mkapa unaweza host robo fainali.
Kwanini Serikali isiongeze just. 10K walau kuwa na uwanja wa viqango vya FIFA?
Maoni yangu bado wanaweza fanya adjustment, Wachina ni wazuri sana kwenye hili, na pesa Samia anazo za kutosha.
Naona wametoa picha ni nzuri lakini ukubwa wa uwanja utavutia matukio mengi ya kimichezo kufanyika Tanzania.
View attachment 2939166
Kumbe kana helaNdio anaye toa pesa.. hujasikia haya mambo
UNAFAHAMU HATA HICHO KIWANJA KIMEJENGWA KWA SABABU IPI AU UMEKURUPUKA TU BAADA YA KUVIMBIWA MAKANDE?Kwanini hizo pesa wasingezielekezea kurekebishia viwanja vilivyochoka! Mwanza, shinyanga, dar, mbeya n.k! Sasa Arusha na mpira wapi na wapi ndugu zangu! Mama akae na afikirie mara mbili mbili