Uwanja wa Dkt. Samia Arusha haukidhi viwango vya FIFA

Kusema hautakuwa na a viwango vya fifa ni uwongo, labda utetee hoja yako ya kuchezewa robo, nusu na fainali

Chamazi tu una viwango vya fifa ndio uwe huo?
 
Hili nalo ni janga ,utasema mama kalima mazao kauza amekuja kutugawia pesa

Watu tunalipa Kodi kwa shida ila serikali inatupa huduma kwa vijembe, utaskia mama kawajengea barabara, yaani ujinga mtupu Africa hii
Ndio ni kweli katujengea.
Maana hata angeziiba pesa tungejua wapi?
 
Sasa Kwa nini wanajenga kiwanja Kwa kutizingatia hadhi ya FIFA tena eneo la Kimkakati kama Arusha?

Serikali isifanye upuuzi kama huo na Dodoma.

Zanzibar hoyee

View: https://x.com/millardayo/status/1838951714369478911?t=7mSsdL0zwhGmEFN1X4m8OA&s=19
 
Watu wamejipigia kwenye huo mradi hadi wamevimbiwa
 
Kwanini hizo pesa wasingezielekezea kurekebishia viwanja vilivyochoka! Mwanza, shinyanga, dar, mbeya n.k! Sasa Arusha na mpira wapi na wapi ndugu zangu! Mama akae na afikirie mara mbili mbili
UNAFAHAMU HATA HICHO KIWANJA KIMEJENGWA KWA SABABU IPI AU UMEKURUPUKA TU BAADA YA KUVIMBIWA MAKANDE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…