pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Uzio siyo lazima sana iwapo ulinzi utaimarishwa kwani hata viwanja kama old traford havina uzioUwanja mzuri ila una mapungufu madogo..kwa mfano..uzio ni muhimu kuzunguka pitch..lakini pia naona hata lango la kuingilia uwanjani ni moja...
Shauri zako! Endelea na siasa
Lakini leo wakati wa uzinduzi wa uwanja huo meneja Mnyeti ambaye ni Mkuu wa mkoa wa Manyara amesema uwanja huo umegharimu kiasi cha shilingi 838,000,0000.Mnakurupuka sana ku-quote minyuzi! Wewe mleta kaandika Bw. Nyanda Mnyeti wewe unamjadili Alexander Mnyeti!
Kuweni makini na maandishi!
Inawezekana! Basi kuna shida kwenye uandishi wa mleta uzi! Maana mkuu wa mkoa wa Manyara anaitwa Alexander Mnyeti na si Bw. Nyanda Mnyeti kama mleta uzi alivyomwita!Lakini leo wakati wa uzinduzi wa uwanja huo meneja Mnyeti ambaye ni Mkuu wa mkoa wa Manyara amesema uwanja huo umegharimu kiasi cha shilingi 838,000,0000.
Ni kweli ni ndugu kabisa na Mama jenHuyu jamaa nasikia ana undugu na mama Jeska,... Ndio maana kabebwa bebwa hadi kufikia hapo,.
Sasa kama Ruangwa umejengwa uwanja,.. Kwann yeye ashindwe kujenga Mwanza,.. Mpaka kuisha miaka kumi, mtayashangaa mengi kama sio Mwanza basi Chato... Hiyo geresha tu, hamna mkopo wala magari...
kwani hajasema ni mkuu wa mkoa au wewe unakurupukia chooniMnakurupuka sana ku-quote minyuzi! Wewe mleta kaandika Bw. Nyanda Mnyeti wewe unamjadili Alexander Mnyeti!
Kuweni makini na maandishi!
Bora huyo kaiba kajengea hata uwanja tuwe tunaangalizia mpiraUnampa hongera mwizi ,badala usikitike kwa nini hayuko magereza
Kwani hati kapewa mpaka hamaliziė?Kazi nzuri sana Mnyeti! Mo na pesa zake anashindwa kumalizia Bunju!!
Mkuu, neno milioni linachukua nafasi ya sufuri sita; hivyo, sahihi ni milioni 300Hongera sana Mnyeti lakini usitufanue wajinga.
Huko kukopa CRDB ni geresha tu na wanasiasa karibu wote huwa mnafanya hicho kiini macho.
Pili unauza magari manne unapata milion 300,000,000 hayo ni magari ya aina gani uliyokuwa ukimili Mnyeti mpaka used magar manne upate hiyo pesa?
Mnyeti biashara ya madiwani kule Arumeru ilikulipa sana lakini tunashukuru umewekeze kwenye jamii.
Una uhakika na unacho kinena?Utakatishaji mkubwa umefanyika hapo, mkopo geresha tu
NdioUna uhakika na unacho kinena?
Waone TAKUKURU..😂Ndio
hata jinsia zao pia ni kama Tp mazembeHalafu nimependa jezi zao, ni kama za TP Mazembe.
Hata Mimi nashangaaUnampa hongera mwizi ,badala usikitike kwa nini hayuko magereza
Uongo uongo hausaidii, huwezi kopa hela benki kwa riba then ukaizike uwanjani. Mradi huo siyo kabisa au zero ROI.Kupitia mpira wadau wa mpira wilaya ya Misungwi mkoani mwanza wameamua kujenga uwanja mpya wa kisasa zaidi ambao uko nje kidogo na jijini la Mwanza wenye uwezo wa kubeba zaidi ya watazamaji elfu kumi na moja.
Akizungumzia kuhusu ujenzi huo ambao uko katika hatua ya mwisho meneja wa ujenzi Bw.Nyanda Mnyeti amesema kuwa walianza ujenzi kwa na mkandarasi mwingine ambaye alizungushia tofali na baadae wakapata mkandarasi mwingine ambaye alichimba na kuweka udongo ambayo unaofaa kwa ujenzi kama tofauti na awali.
Ameongeza kuwa uwanja huuo ni wa kisasa kwani ujenzi wa uwanja huo wamejifunza kupitia viwanja vya nje ya nchi ambapo maegesho ya magari yatakuwa nje wakati wa mechi huku makazi ya kocha,Viongozi na wachezaji watakuwa wanaishi karibu na uwanja ambapo kuna nyumba (Hostel) zao tayari za kuishi.
(Hii ni kwa mujibu wa tarifa za awali zizonikuliwa toka kwenye magazeti ya michezo)
Lakini leo wakati wa uzinduzi wa uwanja huo meneja Mnyeti ambaye ni Mkuu wa mkoa wa Manyara amesema uwanja huo umegharimu kiasi cha shilingi 838,000,0000.
Akifafanua chanzo cha fedha killipopatikana kwaajili ya ujenzi huo, Mnyeti amesema alikopa Benki ya CRDB shilingi 300,000,000 kwaajili ya kujenga pitch na kiasi kingine aliuza magari yake binafsi 4, akapata shilingi 300,000,000, pia alisema alimuomba mke wake wauze gari yao ya kutembelea ndipo wakapata kiasi kilicho baki cha kumalizia uwanja huo.
View attachment 1133553View attachment 1133554
Kwan kwao huko....si wakuu wa mikoa na wilaya wanahamishwa tu...Kwa nn hakuujenga Babati huko Manyara ambako ni mkuu wa mkoa?