Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Lakini naye ni mchezaji wa SimbaManula kawaokoa.
Hahahahahahahahah Timu inatakiwa kupangwa hiyo siku zote.
Bila bima inakuwa ngumu kidogo. Anze kutoa assist.Bora kagere aliamua kutoa pasi maana angeamua kufunga yeye angekosa goli la nne la wazi
Sent using Jamii Forums mobile app