Uwanja wa Jamhuri, Morogoro | Vodacom Premier League VPL : Mtibwa Sugar 0 - 3 Simba SC

Simba wanaupiga mwingi hapa Uwanja wa Jamhuri, Kulitaka Mwana

Wanakwenda Simba lakini, Kado anarudishiwa mpira ule na kuwa goal kick

Mtibwa Sugar 0-3 Simba SC
 
Naskia kelele tu huko nje ..

Daah 3 - 0

Mnyama kafanya yake hongera sana.
 
Bocco gool laaaaaaaaaa, ni konaa inapigwaaaaaa Kona inaokolewa

Kwake Kibwana Shomari, lakini anadhibitiwa na mabeki wa Simba
 
Kadi ya Njano kwa mchezaji wa Simba Mkude

Wanarusha Mtibwa wa kwake Mbonde, kwake Issa tena wanapoteza inapigwaaaaaa langoni kwao, Konaaaaaa
 
Inapigwaaaaaa Kona na Chama, lakini Kado anaosha wakati huohuo yupo chini ameumia
 
Kocha huwa anazingua kupanga kikosi.. lkn kwa kikosi cha leo unawakosa vp mtibwa
 
75' Shamte anaingia kuchukua nafasi ya Kapombe.

Ameingia Luis kuchukua nafasi ya John Bocco, upande wa Simba SC
 
Huyu kocha wa Simba mzungu Sven ni bonge la kocha aisee, atawapa Simba ubingwa wa Afrika, apewe mkataba hata wa miaka 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…