Uwanja wa Kaitaba: Simba SC yamuadhibu mbabe wake Tanzania kwa kumchapa tatu bila

Hakuna mwenye link jamani ya hii mechi tuangalie.
 
Ibrahim Ajib full stamina. Ila huyu 'Kadabra' ni mpole na mstaarabu sana, ningekuwa mimi ningempiga kiwiko cha kumng'oa koromeo yule pimbi wa Nkurukumbi.
 
Mkuu Laki Si Pesa tafadhali usiache kutimiza ahadi yako ikiwa mabingwa wa nchi watafanikiwa kuwatandika wana super nkurukumbi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…