Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,718
- 15,347
Tano hivi tatu nazo si mbaya, uko poa lknUnataka tuwapapase ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tano hivi tatu nazo si mbaya, uko poa lknUnataka tuwapapase ngapi?
Nita kutafuta ila ni mbili ad Sasa mnyama a nakula miwaSimba akishinda leo nitatembea uchi Kariakoo, Kagera Sugar 3 Mbumbumbu 0
Kocha kazingua sanaKagere jamani, ilibidi apangwe na Nyosso huyu.
Jiandae kutembea uchi sikuachi dagaa weweSimba akishinda leo nitatembea uchi Kariakoo, Kagera Sugar 3 Mbumbumbu 0
Hahaha! Muntua yani kateAhsante hawa leo tuwatandike za kutosha washazoeaga sana kutufunga
Labda kavuta.Kocha kazingua sana
Hahaha Leo Hawa 3+ zinahusika bila hofuTano hivi tatu nazo si mbaya, uko poa lkn
Nimeona anapasha dk za mwisho mwishoLabda kavuta.
Umeshavua nguo tayari? Kua makini na middle finger za mateja na ningekushauri uvae hata boksaSimba akishinda leo nitatembea uchi Kariakoo, Kagera Sugar 3 Mbumbumbu 0
Nyosso kalewa bangi haoni mbeleKagere jamani, ilibidi apangwe na Nyosso huyu.
Ushaanz kusaulaSimba akishinda leo nitatembea uchi Kariakoo, Kagera Sugar 3 Mbumbumbu 0
Ucha ufara kutukana wewe kama umekuja leo mjini.Mazoea ya kisenge mwisho mwaka jana. Bado Yanga kipigo cha mbwa koko