OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Shevaaaaaaaaaaaaaaa. Refa kachomoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KafanyajeAishi Manula ni tatizo kubwa.
Utalala wapi na mkeo?Hii gemu isipoisha 3-3 njooni mchome moto nyumba yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kagereeee!!! Simba 3 - 0 Wajinga wajinga. Wanapigwa la tatu, na Juma Nyosso wao akiwemo.
Mtu mwenyewe ni mpangaji tu, anataka tuchome nyumba ya watu.Utalala wapi na mkeo?
Mama.e nunua kiberiti uchome mwenyeweHii gemu isipoisha 3-3 njooni mchome moto nyumba yangu
Na domo lake chafuKipigo hiki kinakuijia kwa hisani ya Mkuu wa Mkoa
Umejiandaa lkn mkuu?Simba akishinda leo nitatembea uchi Kariakoo, Kagera Sugar 3 Mbumbumbu 0
Haya matokeo yana madhara makubwa sana kwa viti maalumu. Mechi yao ya Jumamosi watapigwa hivi hiviKipigo hiki kinakuijia kwa hisani ya Mkuu wa Mkoa
Leta kiboga weweHii gemu isipoisha 3-3 njooni mchome moto nyumba yangu