Sasa usiongee huku unalia nyamaza kwanza tunashindwa kukuelewa kijana wa utokweli nyie ni mapaka fc hao sevilla uliwafunga? halafu ukijitapa nyau kucheza na sevilla na waarabu unataka wasemeje juzi tu wametoka kuchezana Buyern Munich mabingwa wa ulaya