Uwanja wa Karume | Vodacom Premier League VPL' Biashara Utd Vs Simba SC

kweli nyie ni mapaka fc hao sevilla uliwafunga? halafu ukijitapa nyau kucheza na sevilla na waarabu unataka wasemeje juzi tu wametoka kuchezana Buyern Munich mabingwa wa ulaya
we kweli utopolo kwani hao al ahly waliwafunga bayern?

sisi tulikipiga bila mapenzi ya kocha kutaka kila mtu acheze, tulikua tunawaibisha kwa kipigo cha 4-1 kama tulivyo kufanya wewe

Sisi tulikaza hatukukubali waondoke bila kuwapachika magoli hata kama tulipoteza, sasa hao maostadh waliocheza na buyern walifunga magoli mangapi mechi hiyo licha ya kwamba walipoteza mechi?
 
mkumbushe Platu, Planum na AS Vita alisemaje
muache atabadilisha team round hii mpaka akome

halafu kumbe alianzia mbali, kamshabikia platu, platu kaplatuliwa akamuama, akaswitch aside akaenda plutnum nayo tukaishushia kipigo msela akaamua ahamie As vita round hii akiwa na uhakika kwa kufananisha record ya mwaka jana.

Naye vita kafa tena akiwa huko huko kwao kwao, sasa we muache aendelee kufata meza yenye bia nyingi kama mhudumu wa bar
 
Yanga hata mbovu namna gani kwenye ligi haiwezi kufungwa no mikia mwaka juzi simba alishindwa kumfunga Yanga pamoja ubovu wote safari mmetoa sare mechi ya kwanza mkisawazisha dakika za majehi narudia kwenye ligi simba hawezi kumfunga Yanga Mikia ni Mikia tu hatuna jina jingine
 
itoshe tu kusema wewe utelembwe naona auna hoja nyie ile gemu mlikaza lakini au sevilla walikua wamekuja kutalii,
Kaa ukijua jumanne unaolewa live pale kwa mkapa
 
itoshe tu kusema wewe utelembwe naona auna hoja nyie ile gemu mlikaza lakini au sevilla walikua wamekuja kutalii,
Kaa ukijua jumanne unaolewa live pale kwa mkapa
walikuja kutalii na wakati pitch ilikua inaonesha namna jamaa wanavyo hustle?

jumanne napiga threesome, napiga huyo mpambe na wewe pia ukiwemo
 
Usilie... Nyamaza kwanza. Uliishia darasa la ngapi? Mnakumbuka kipigo cha 5-0? Na cha mwaka jana 4-1? Ninyi ni wateja. Mkijitahidi ushindi wenu ni draw hapo mnashangilia sana. Usilie andika kwa utaratibu...
 
mwaka juzi mbali sana mbona

 
Mwaipopo ukwesile ikambo inywamu!! Hebu leta statistics za kweli
 
kweli nyie ni mapaka fc hao sevilla uliwafunga? halafu ukijitapa nyau kucheza na sevilla na waarabu unataka wasemeje juzi tu wametoka kuchezana Buyern Munich mabingwa wa ulaya
Kwa hiyo waarabu waliiwakilisha utopolo? 😁😁😁 Maana umekazana waarabu, waarabu, badala ya kuzungumzia Kagera Sugar 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…