Uwanja wa KIMATAIFA Chato ulipokea wageni wa kimataifa mara ya mwisho mwaka 2021

Uwanja wa KIMATAIFA Chato ulipokea wageni wa kimataifa mara ya mwisho mwaka 2021

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Uwanja wa hadhi ya kimataifa, haujapata ugeni wowote wa kimataifa tangu Mzee wetu JPM afariki mwaka 2021. Hakuna watalii Wala tukio lolote la kimataifa.

Kwa nini ulijengwa kwa hadhi ya kimataifa na mataifa hayafiki hapo uwanjani?

Au walijengewa watu wa mataifa(wakristo watanielewa)
 
Shoga wewe na waliokuzaa ndo maana una hasira na watu!

Chato airport inaanikiwa mpunga amua cha kunifanya sasa kima wewe!
Bila picha huu ni upumbavu na roho ya kishetani imo ndani yako.
 
Bila picha huu ni upumbavu na roho ya kishetani imo ndani yako.
Roho ya kishetani imo kwa aliyepeleka international airport Chato huku wananchi wake hawana maji ya kunywa!!

Uwanja wa bilioni 59 unaanikiwa mpunga na watu hawana maji?

Stendi kubwa kuliko zote haina hata daladala moja huku watu hawana maji na wanakunya ziwani?

Nyie watu mna laana!
 
Wewe shoga mbona unahangaika sana na uwanja wa ndege wa Geita (Chato)? Kwa taarifa yako uwanja huo utaendelea kuwepo na sisi tutaendelea kuutumia kama kawaida na hayupo atakayeuondoa. Wewe endelea na ushoga wako tu mambo ya Chato tuachia sisi wanachato.
Sawa hakuna wakuutoa endeleeni kuanikia dagaa!
 
Wewe na akili zako kweli unamsikiliza na kumwamini Shoga Lissu!!?
Je nyiye mlioruhusu ushoga kila mkoa Wana uongozi wao na wahamasishaji mpaka wilayani siyo mashoga nyiye

Mmeruhusu ushoga na kutuharibia vijana wetu mwakyembe aliwaumbua nyiye tena mnyamaze
 
Naona kuna issue ya chato na shoga, tuanze ipi
 
Roho ya kishetani imo kwa aliyepeleka international airport Chato huku wananchi wake hawana maji ya kunywa!!

Uwanja wa bilioni 59 unaanikiwa mpunga na watu hawana maji?

Stendi kubwa kuliko zote haina hata daladala moja huku watu hawana maji na wanakunya ziwani?

Nyie watu mna laana!
Weka picha tuone wakianika huo mpunga.
Bila picha bado utaendelea kuoneka ni mnafiki
 
Marehemu alikua Raisi wa hovyo kuwahi kutokea katika nchi hii.

Hashauliki haambiliki visasi udikteta utesi uongo propaganda ukabila ukanda roho ya kwa nn n.k

“Waliokua wanaishi kama malaika wataishi kama mashetani “

Wtf?🥸🥸

Malaika mpeni kichapo huyo mshamba hadi akome.
 
Back
Top Bottom